KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
Na mafisadi waliokabidhi uongozi wa chama kwa wakwe zao?
mzee, kile sio chama bali ni genge la opportunists na si vinginevyo !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mafisadi waliokabidhi uongozi wa chama kwa wakwe zao?
mzee, kile sio chama bali ni genge la opportunists na si vinginevyo !
Mhh. heading yako inasema vyama feki Tanzania! kama hutaki ccm ijadiliwe au kama unadhani ccm sio chama feki basi unaweza kuibadili na kuiita vyama feki (isipokuwa ccm) Tanzania....
Na mafisadi waliokabidhi uongozi wa chama kwa wakwe zao?
Na waliokabidhi Kiwira kwa wakwe zao wanatoka Chama gani?
the same statements nilimsikia Chenge akizitumia kuhusu Chadema, nilidhani kada wewe ni nccr kama ulivyoahidi??
kama chama kinashindwa hata kuwasilisha mambo yake vizuri kwa umma ni kituko kinapodai eti kipewe nchi kiongoze.
Lakini ufeki kwangu mana yake ni kutokuwa na uhalisia yaani kitu ambacho siyo guinine,kinajifanyisha.Mfano wa ufeki ni pale wale wanaojiita wapinzani wa ccm wanaposhindwa kuelewana wao kwa wao,wanaposhindwa kuwa wamoja,wanapokuwa wanafiki,mamluki,vigeugeu,wanapokuwa na mikakati butu ya kuing'oa ccm nk
Na waliokabidhi Kiwira kwa wakwe zao wanatoka Chama gani?
labda CCM siyo chama Bi. Mdogo.. au siyo Feki... au siyo chama feki... au siyo chama cha Tanzania..
chenge hana uhusiano wowote na mimi, aseme asiseme hanihusu wala hoja yake hainihusu. Sina haja ya kuwa kwenye chama chochote kuelekeza hoja ifikie walengwa !
kiwira nacho chama ?? how about chadema ?? YES NI CHAMA ! tena kilikabidhiwa kwa wakwe kwenda kwa F.A.M (uncle tom)!!
Unaonekana kumtetea Mtei kumrithisha mkwe wake Mbowe Chama,hii ndio kusema unakubaliana na utaratibu wa wakwe kukabidhiwa urithi wa rasilimali za umma au?
na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
kumbe hukujua hili!
Ukitumia statement za chenge basi unajiweka kwenye nafasi ya kuhusishwa naye!
maybe chadema=kiwira ! pumba tu unaongea ! zimwage kwa wingi !
bwahahahaaaaaaaa.... kituko cha mwaka ! next time how about you shut dat bowl up!
i dont keep track of people's words, hayo ni maneno yangu binafsi !
JF kuna hoja... hongera sana mkuu!
hata chenge atafurahi sana akisikia umetumia maneno yake hapa huku ukiyaita yakwako binafsi.
sina ukuu wowote ! usitaka kunitukuza, sogea pembeni kanyaga mafuta, anza mbele !
nadhani atafurajo zaidi akijua kwamba wewe unaweka track ya maneno anayoongea ! that makes you even a greater person that his wife !