Uwezo wa kujua cha maana umeutoa wapi!? Maana naona hata ulichoandika ni upuuzi tuu wenye double standard.Kabisa, hasa wabunge wa ccm. Wa upinzani ni vichwa, wao wanaweza kuendelea hata miaka 30. Toka nimekufahamu angalau leo umeongea cha maana.
Hii itasaidie pia kupokezana kwa amani kwenye ubunge sababu anajua wazi miaka kumi ikifika kwa herinatambua wabunge waliopo hawawezi kukubali kwa kujificha kwenye maneno hiyo ni demokrasia eti acha wananchi wenyewe waamue huku wakitumia rushwa na figisu waendelee kuwa wabunge wafaidi posho za bure na kiinua mgongo cha dhulumat!.
Keki hiyo pia inatakiwa kugawanywa .Kala miaka kumi na zaidi inamtosha apishe wengine wale pia.Pia Ni njia ya kupanua wigo wa maendeleo kwenye familia nyingi zaidi akiwa huyo huyo tu ndio mla hiyo keki familia zingine zitakufa kwa utapia mlo!!! Kupokezana muhimu piaNaunga mkono hoja ingawa watakataa kwa kuwa huko kuna pesa sana. Swali ni je, nani asiyependa pesa na marupurupu + kuitwa mheshimiwa hata Kama ukiongea utopolo?
Hakuna sheria inayotamka ukomo wa mbunge. Rais tu ndio ana ukomo wa miaka kumi.
Kuingiza damu mpya ni muhimu kwa vyama vyenyewe vya siasa na nchi ili kuingiza mawazo mpya na msukumo mpya.
Naomba vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, mbunge yeyote aliyekaa bungeni miaka kumi au zaidi awe wa kuchaguliwa, kuteuliwa au viti maalumu, kateni jina lake
Mambo mengine sio lazima katiba iseme. Miaka kumi kwa mbunge inamtosha.
Watu wasigeuze ubunge kuwa ni uchifu.
Kabisa, hasa wabunge wa ccm. Wa upinzani ni vichwa, wao wanaweza kuendelea hata miaka 30. Toka nimekufahamu angalau leo umeongea cha maana.
Umenikumbusha vita ya wassira na bulayaHii itasaidie pia kupokezana kwa amani kwenye ubunge sababu anajua wazi miaka kumi ikifika kwa heri
Sasa hivi mbunge kuondoka Ni Kama Vita ya dunia kakaa miaka kumi au zaidi ya miaka kumi kumtoa Ni shughuli pevu hata chama kikiata jina ananuna anatangaza Vita na chama na viongozi wa chama Kama vile yeye alizaliwa kuwa mbunge
Lazima tuanzie mahali kila chama kivalie njuga Hilo kuwa umetumikia miaka kumi pisha Kama Kuna vyeo vingine kwenye chama au serikali wakitaka wampe lakini ubunge akatwe
Hili halitakiwi kucheka cheka
Uwezo wa kujua cha maana umeutoa wapi!? Maana naona hata ulichoandika ni upuuzi tuu wenye double standard.
Hii itasaidie pia kupokezana kwa amani kwenye ubunge sababu anajua wazi miaka kumi ikifika kwa heri
Sasa hivi mbunge kuondoka Ni Kama Vita ya dunia kakaa miaka kumi au zaidi ya miaka kumi kumtoa Ni shughuli pevu hata chama kikiata jina ananuna anatangaza Vita na chama na viongozi wa chama Kama vile yeye alizaliwa kuwa mbunge
Lazima tuanzie mahali kila chama kivalie njuga Hilo kuwa umetumikia miaka kumi pisha Kama Kuna vyeo vingine kwenye chama au serikali wakitaka wampe lakini ubunge akatwe
Hili halitakiwi kucheka cheka
Keki hiyo pia inatakiwa kugawanywa .Kala miaka kumi na zaidi inamtosha apishe wengine wale pia.Pia Ni njia ya kupanua wigo wa maendeleo kwenye familia nyingi zaidi akiwa huyo huyo tu ndio mla hiyo keki familia zingine zitakufa kwa utapia mlo!!! Kupokezana muhimu pia