Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rushwa kubwa zaidi kuliko zote nchini Tanzania ni kitendo Cha kumpatia Kinga ya kisiasa Rais wa nchi ili asishitakiwe Mahakamani.Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?