Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?

Rushwa kubwa zaidi kuliko zote nchini Tanzania ni kitendo Cha kumpatia Kinga ya kisiasa Rais wa nchi ili asishitakiwe Mahakamani.
Hii ndio rushwa kubwa zaidi kuliko zote.