Vyama vya siasa vidai Tume Huru ya Uchaguzi, suala la Katiba Mpya liachwe kwa Wananchi muda muafaka ukifika

Vyama vya siasa vidai Tume Huru ya Uchaguzi, suala la Katiba Mpya liachwe kwa Wananchi muda muafaka ukifika

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hakuna wananchi walioituma CHADEMA kudai Katiba Mpya kwa niaba yao, nie kiherehere cha Ufipa tu

Katiba mpya itadaiwa na Wananchi wenyewe siyo vyama vya siasa

Mungu ni mwema wakati wote
 
CDM wakiongelea katiba, wanaongelea wao kupata madaraka, sio shida za wananchi .

CCM wanatatua KERO za wananchi, mpaka wanaona katiba ni useless
 
Ni ujinga kuamini tunaweza kuendesha nchi bila katiba, tatizo ujinga unatufanya tuamini katiba inahusu mikutano ya siasa hatujui kuwa inahusu maisha yetu yote hata kunywa uji, wapo watakaobisha.
 
CHADEMA sio wananchi? Hivi kwa akili hizi Mwal Nyerere angeruhusu vyama vingi kwa maoni ya asilimia ishirini?
 
Huo sasa itakua unafiki..kimsingi vyama vya siasa vipo kiyasemea ya wanachi wengi kama lilivyo bunge(ila sio bunhe la JMT)..hivyo muhimu kupambania jambo kwa maslahi mapana ya taifa.

Halafu kuna wananchi waliiomba ccm ije na ilani?

#MaendeleoHayanaChama
 
Rubbish, Nape amewaambia kuwa Mungu aliamua ugomvi na Sasa bahari Ni tulivu.
 
Rubbish, Nape amewaambia kuwa Mungu aliamua ugomvi na Sasa bahari Ni tulivu.
Kauli za Nape sio za kiuongozi.
Hakuna kiongozi anayekubalika na wote. Kama yeye hakumkubali wapo maelfu waliomkubali na wanaendelea kumkubali.
Hata yeye hakubaliki na wote.
Hata yeye ni kikwazo kwa baadhi ya watu kufikia malengo yao.
Je siku Nape akifa wale watakaonufaika na kifo chake washerehekee hadharani na wao waseme Mungu kaingilia kati?
Waanze kuropoka na kueleza matatizo yake wakati huo hana hata uwezo wa kujitetea tujue ukweli wao na uongo wao?

Kwa kweli wanasikitisha sana.
Mama Samia ajue nayeye zamu yake ikiisha hawa hawa kina Nape wanaomsifia watamgeuka na kumkashifu ya nguoni.
 
Hakuna wananchi walioituma CHADEMA kudai Katiba Mpya kwa niaba yao, nie kiherehere cha Ufipa tu

Katiba mpya itadaiwa na Wananchi wenyewe siyo vyama vya siasa

Mungu ni mwema wakati wote
kuwaachia wananchi maana yake ni nini? wapi ulipoona wananchi wa Tanzania wansauti ya kutaka katiba au kumfukuza kiongozi madarakani. hata uwezo wa kuandamana hawana leo unasema bila ya soni kuwa tuwaachie wananchi!
 
Kauli za Nape sio za kiuongozi.
Hakuna kiongozi anayekubalika na wote. Kama yeye hakumkubali wapo maelfu waliomkubali na wanaendelea kumkubali.
Hata yeye hakubaliki na wote.
Hata yeye ni kikwazo kwa baadhi ya watu kufikia malengo yao.
Je siku Nape akifa wale watakaonufaika na kifo chake washerehekee hadharani na wao waseme Mungu kaingilia kati?
Waanze kuropoka na kueleza matatizo yake wakati huo hana hata uwezo wa kujitetea tujue ukweli wao na uongo wao?

Kwa kweli wanasikitisha sana.
Mama Samia ajue nayeye zamu yake ikiisha hawa hawa kina Nape wanaomsifia watamgeuka na kumkashifu ya nguoni.
whatever the case, it is simple like that: Anakemewa muuaji! Muuaji akemewe kwa nguvu zote . Nape akiua naye atakemewa akiwa Maiti!
 
whatever the case, it is simple like that: Anakemewa muuaji! Muuaji akemewe kwa nguvu zote . Nape akiua naye atakemewa akiwa Maiti
Unakemea Maiti?
Are you serious...!!!???
🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna wananchi walioituma CHADEMA kudai Katiba Mpya kwa niaba yao, nie kiherehere cha Ufipa tu

Katiba mpya itadaiwa na Wananchi wenyewe siyo vyama vya siasa

Mungu ni mwema wakati wote
Unavyozidi kizeeka na akili yako inazidi kupotea, upo busy kufungua uzi na kuandika nonsense. Hao wananchi watakaodai katiba watakuwa hawana vyama??
 
Back
Top Bottom