johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kauli za Nape sio za kiuongozi.Rubbish, Nape amewaambia kuwa Mungu aliamua ugomvi na Sasa bahari Ni tulivu.
kuwaachia wananchi maana yake ni nini? wapi ulipoona wananchi wa Tanzania wansauti ya kutaka katiba au kumfukuza kiongozi madarakani. hata uwezo wa kuandamana hawana leo unasema bila ya soni kuwa tuwaachie wananchi!Hakuna wananchi walioituma CHADEMA kudai Katiba Mpya kwa niaba yao, nie kiherehere cha Ufipa tu
Katiba mpya itadaiwa na Wananchi wenyewe siyo vyama vya siasa
Mungu ni mwema wakati wote
whatever the case, it is simple like that: Anakemewa muuaji! Muuaji akemewe kwa nguvu zote . Nape akiua naye atakemewa akiwa Maiti!Kauli za Nape sio za kiuongozi.
Hakuna kiongozi anayekubalika na wote. Kama yeye hakumkubali wapo maelfu waliomkubali na wanaendelea kumkubali.
Hata yeye hakubaliki na wote.
Hata yeye ni kikwazo kwa baadhi ya watu kufikia malengo yao.
Je siku Nape akifa wale watakaonufaika na kifo chake washerehekee hadharani na wao waseme Mungu kaingilia kati?
Waanze kuropoka na kueleza matatizo yake wakati huo hana hata uwezo wa kujitetea tujue ukweli wao na uongo wao?
Kwa kweli wanasikitisha sana.
Mama Samia ajue nayeye zamu yake ikiisha hawa hawa kina Nape wanaomsifia watamgeuka na kumkashifu ya nguoni.
Unakemea Maiti?whatever the case, it is simple like that: Anakemewa muuaji! Muuaji akemewe kwa nguvu zote . Nape akiua naye atakemewa akiwa Maiti
Unavyozidi kizeeka na akili yako inazidi kupotea, upo busy kufungua uzi na kuandika nonsense. Hao wananchi watakaodai katiba watakuwa hawana vyama??Hakuna wananchi walioituma CHADEMA kudai Katiba Mpya kwa niaba yao, nie kiherehere cha Ufipa tu
Katiba mpya itadaiwa na Wananchi wenyewe siyo vyama vya siasa
Mungu ni mwema wakati wote