GE2025 Vyama vya Siasa vyakumbushwa sheria za gharama/bajeti za uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imewakumbusha viongozi wa vyama kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi, ambayo imefanyiwa marekebisho na Bunge mwaka huu. Lengo ni kuepusha viongozi kuwekewa pingamizi au kufikishwa mahakamani kwa makosa ya jinai

Maelekezo hayo yametolewa wakati vyama vya siasa vikiendelea na maandalizi ya kampeni za uchaguzi mkuu, zinazotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu wa Agosti

​

Chanzo: Azam News
 
IMG-20250814-WA0018.jpg
 
Baada ya kuwa Mbunge na pengine kuteuliwa katika Baraza la Mawaziri sina uhakika kama hiyo Tume kufuatilia matumizi ya fedha aliyotumia katika kampeni.
 
Huyu msajili amejumlisha gharama zote za baiskeli na pikipiki za mgombea urais wa ccm?
 
Back
Top Bottom