Hayo mawazo na maneno ni yako mwenyewe ama,mbona CCM ndiyo wapo nyuma ya yote haya.Vyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia hapa Tanzania kwa kukosa utaalamu na uzoefu wa siasa
Kughaili kushiriki uchaguzi sio njia ya kirafiki ya kupigania demokrasia. Inataka muda kwa mtu yeyote kuachia usukani. Inataka mkakati wa kiiufundi.
Ni safari ndefu. Angalia mapambano na Wakoloni. Ilichukua muda mrefu. Ni vizuri kushiriki kwa kuwa kazi hii yahitaji mkakati wa muda mrefu
No sweet without sweat.
Hakuna mtu anayepambana na wakoloni kwa sasa,Vyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia hapa Tanzania kwa kukosa utaalamu na uzoefu wa siasa
Kughaili kushiriki uchaguzi sio njia ya kirafiki ya kupigania demokrasia. Inataka muda kwa mtu yeyote kuachia usukani. Inataka mkakati wa kiiufundi.
Ni safari ndefu. Angalia mapambano na Wakoloni. Ilichukua muda mrefu. Ni vizuri kushiriki kwa kuwa kazi hii yahitaji mkakati wa muda mrefu
No sweet without sweat.
Huna akiliVyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia hapa Tanzania kwa kukosa utaalamu na uzoefu wa siasa