Vyama vya upinzani mjifunze kwa Zitto Kabwe

Wajibu wa kikatiba na kisheria wa mwanasiasa makini aliye upande wa vyama vya upinzani ni nini? Je! Ni kuunga mkono juhudi na kiisifia serikali iliyopo madarakani?
Bila shaka jibu ni BIG NO.
Viongozi wa kambi hii ni lazima wafanye kazi kama "watching dogs" ili serikali ikikosea tu wao wapaze sauti juu na kuionyesha kasoro hiyo. Serikali ikitimiza wajibu wake vizuri si kazi yao kuisemea.
 
Tangu lini Zitto ni mpinzani?
ACT iko na ccm bega kwa bega wanakula mwma ya nchi itegemee watemee mate chakula? Au hili hulijui?
Mimi nachojua ACT ni chama cha upinzani lakini hawana ushamba wa kupinga kila kitu
 
Lakini serikali ikifanya maendeleo lazima tuseme pia sio lazima kusema mabaya tu
 
Sasq Zitto ana tofauti gani na Mwigulu au Makamba?
wote si wana CCM tu.
Mimi nachojua ni kwamba Zitto ni ACT kwaiyo point yetuu ipo pale pale mazuri yanayofanywa na serikali lazima tuyaseme pia sio kukosoa kila kitu
 
Usiwachagulie watu mambo ya kufanya.Hata mtoto wako anaweza kuku-challenge ndani ya nyumba uliyojenga.Unataka watu wakubali kila kitu kwani wao ni maiti?
Punguza makasiliko Rais Samia Suluhu anafanya kazi kubwa sana ya kuleta maendeleo Tanzania na kuimarisha democrasia
 
Mwamba ametisha sana aisee tumuunge mkono Rais Samia Suluhu kwa maendeleo ya nchi yetu
Mimi naona kabisa huyu Maza anadhamira njema, wakati anaongea Maza hua naisoma Nafsi yake.

Ila CCM ni Chama muflis kimebakia mifupa tu

 
Huna hoja kama huyo mama anaona tupo pamoja aruhusu na chadema ifanye mikutano ya kisiasa.
Yeye ZZK anaongea kwa maslahi binafsi, anatafuta ajira kama aliyokuwa nayo wakati wa Kikwete. Ukumbuke ajira ile ilimpa pesa nyingi sana ila CHADEMA walimshtukia wakamtimua uanachama. Miaka ya Magu ameishi hohehahe hakuajiriwa sasa kwa udi na uvumba anaitafuta ile ajira iliyositishwa.
 
Rais Samia Suluhu yuko vizuri kama unaona chama kimebaki mama atakijaza nyama hana shida na hilo
Ile CCM ya Awamu ya Nne kamwe haitarudi.

Ile CCM iliyokuwa inathamini uwepo wa Demokrasia ya Vyama vingi, ile ndio CCM sio hio ambayo bado imejaa wakatili wa awamu ya tano.

Ngoja tuione na hii ya kina Zuhra Yunus kutoka Visiwani
 
Ni mjinga tu ndiye hajui kwamba Act iliundwa na Tiss na zito ni wakala wao. Nchi hii bado inatawaliwa kwa ule mfumo wa intelligence agency and the secrete police being used as the part of the government command and control structure.

Nchi zenye mifumo kama hii waga maendeleo ya watu ni shida sana kupatikana.
 

Zitto hajapewa kesi ya ugaidi. Amepewa ajira ya kikosi kazi mshahara million 12, ulitaka afanyeje?.
 
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli watu wa kigoma wamepata umeme wa uhakika na huduma zote muhimu zinapatika kwa ubora wa hali ya juu acha Rais Samia Suluhu tumpe sifa zake

Punguza utoto. Kwa hivyo Serikali kuleta umeme ni wajibu wao au hiyari yao?. Rais na mawaziri wanalipwa mshahara kwa Kodi za wananchi kwaajili ya kuleta maendeleo.
 
Kupinga kila kitu ndio Nini?. Unaelewa maana ya kupinga kila kitu?. Tuache kuongea mambo yasiyokuwa na ukweli wa uhalisia.
 
ZITTO HUYU HUYU NDUMILA KUWILI?
 
Huyo ni mnafiki na mdini mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…