Vyama vya upinzani mjifunze kwa Zitto Kabwe

Mimi nachojua ACT ni chama cha upinzani lakini hawana ushamba wa kupinga kila kitu
Utampinga anayekulisha?
Zitto tangu enzi za Kikwete aliwahi kupata kashfa ya kupewe 400ml kwenda kusoma nje.

ZZK ni ccm wa usiku mchana upinzani
 

Huu msemo wa kusema wapinzani wanapinga kila kitu umetumika na kila mwaccm, mpaka mmekuwa kama wajinga. Ni lini CCM huwa wanakubali mambo ya wapinzani na kuyakiri mpaka wapinzani waunge mkono mambo ya CCM? Isitoshe Zito sio mpinzani bali ni double agent na kinachofanyika hapa ni kumvika kilemba cha ukoka.
 
Lakini leo kaongea pointi sana ameonyesha ukomavu wa kisiasa

Ukomavu wa kisiasa kwenu ni kukubaliana na mtazamo wa CCM. Lakini ccm wakiwafanyia ukatilili wapinzani hakuna mwanaccm analaani hilo. Sema siku CCM waliunga mkono jambo la wapinzani hata kama ni zuri.
 
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli watu wa kigoma wamepata umeme wa uhakika na huduma zote muhimu zinapatika kwa ubora wa hali ya juu acha Rais Samia Suluhu tumpe sifa zake

Umeme amejenga kwa miaka miwili? Sifa ni za rais au hizo ni kodi zetu, na kama ni mkopo wananchi ndio watalipa maana rais halipi kodi.
 
Chawa hajifichi.
 
Kaolewe nae maana wao hadi wanne anaruhusiwa
 
Mimi nachojua ACT ni chama cha upinzani lakini hawana ushamba wa kupinga kila kitu

Unazungumziaje Magufuli alipokuwa anazunguka nchi nzima na kusema hawezi kupeleka maendeleo sehemu waliyochagua wapinzani? Je pale alikuwa anaunga mkono kila kitu?
 
Wanafaa waige matusi yake kwa Magufuli na udini alionao.
 
Kwani tatizo ilikuwa nini hadi wasipate um
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli watu wa kigoma wamepata umeme wa uhakika na huduma zote muhimu zinapatika kwa ubora wa hali ya juu acha Rais Samia Suluhu tumpe sifa zake
Kwan tatizo ilikuwa nini mpaka wakakosa umeme toka uhuru
 
Kupinga kila kitu ndio Nini?. Unaelewa maana ya kupinga kila kitu?. Tuache kuongea mambo yasiyokuwa na ukweli wa uhalisia.
Bora umeona huu ujinga. Hili neno kila mwanaccm analitumia hadi wamekuwa wajinga, ni wapi wapinzani walipinga ujenzi wa madarasa, vituo vya afya, barabara nk? Wapinzani wanapinga upuuzi wowote unaopita mbele yao. Jambo lolote likiwa la kipuuzi lazima wapinzani wapinge ama kukosoa. Na itakuwa ujinga wapinzani kuacha kupinga uhuni, na udhaifu wowote wa serikali eti kisa wanaotaka kujifcha kwenye neno kupinga kila kitu hawatafurahi.
 
Lakini leo kaongea pointi sana ameonyesha ukomavu wa kisiasa

..Na CCM muonyeshe ukomavu.

..Msipinge kila kinachotetewa au kupendekezwa na wapinzani.

..Pia mruhusu siasa zifanyike kwa haki sawa kwa vyama vyote.
 
Chadomo watanuna 😆😆
 


Chama cha upinzani ambacho kina makamu wa Raisi Zanzibar!. Hiki sio chama pinzani ni chama tawala!
 
Unamsifu zitto ndumila kuwili huyo,ana tabia ya kusaliti wenzake,sio mtu huyo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Siku hz zito sio sehemu ya kujifunza upotea ndugu pole sana
 
At the end of the day sote tunapigania kuona Taifa letu linapiga hatua na Mtanzania anakuwa Freedom ya kujiamulia mambo kwenye familia yake

Too much Politics kuingizwa kwenye level ya familia sio poa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…