Vyama vya upinzani mjifunze kwa Zitto Kabwe

Na hiyo ndio maana ya upinzani akizingua mseme akifanya vizuri mpongeze sasa sio ndugu zetu wale wenyewe hawajawai kuona zuri
 
At the end of the day sote tunapigania kuona Taifa letu linapiga hatua na Mtanzania anakuwa Freedom ya kujiamulia mambo kwenye familia yake

Too much Politics kuingizwa kwenye level ya familia sio poa kabisa.
Familia gani unaongelea mkuu
Hapa tunaongelea kuusu mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu mkoani kigoma na kiongozi wa chama cha upinzani amepongeza utendaji kazi wa mama
 
Utampinga anayekulisha?
Zitto tangu enzi za Kikwete aliwahi kupata kashfa ya kupewe 400ml kwenda kusoma nje.

ZZK ni ccm wa usiku mchana upinzani
Jamani tukubali mama yuko vizuri na kazi yake inaonekana tuache propaganda
 
Familia gani unaongelea mkuu
Hapa tunaongelea
Kama mimi nataka kumuoza kijana wangu wa 17 kwa msichana 16 waliopendana nae nisiingiliwe kwenye mambo ya familia yangu ni hayo tu.

Sio nianze kusumbuliwa na Sungusungu na Mapolisi.

Siasa kwenye mambo ya familia yangu hazifai nina mwongozo wangu kutoka kwa Allah.
 
Chadema hawawezi kuelewa maana wao wanafikiri ushujaa na ukamanda Ni kupinga na kukosoa kila kitu kinachofanywa na serikali ya CCM, Ndio sababu kwa Sasa watanzania wamewashitukia na kuamua kuwapuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…