GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki.
ITV Tanzania
Mpaka Dkt. Kiiza Besigye aliyekuwa Kiongozi wa Upinzani 'Kabambe' nchini Uganda amekuja na 'Kituko' hiki, naamini 'Uchizi' umeshampata rasmi.
ITV Tanzania
Mpaka Dkt. Kiiza Besigye aliyekuwa Kiongozi wa Upinzani 'Kabambe' nchini Uganda amekuja na 'Kituko' hiki, naamini 'Uchizi' umeshampata rasmi.