GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tangu lini jeshi likafanikiwa kuongoza nchi kwa mafanikio? Hiyo nchi haitakaa itulie.Mali pia uchizi uliwapata, baada ya kuona Rais Ibrahim Boubacar Keita nchi anapoipeleka sio. Colonel Malick Diaw (Kanali Mdogo Afrika, ana umri wa miaka 25) akapanga kikosi kazi cha kuwaokoa raia.
Waulize libya maisha walioishi kabla na baada ya alivyofanya mapinduzi ya kijeshi Muammar Gaddafi, nchi ikaongozwa kijeshi. Halafu ndio urudi kuniuliza swali lako.Tangu lini jeshi likafanikiwa kuongoza nchi kwa mafanikio? Hiyo nchi haitakaa itulie
Muone role model wenuWaulize libya maisha walioishi kabla na baada ya alivyofanya mapinduzi ya kijeshi Muammar Gaddafi, nchi ikaongozwa kijeshi. Halafu ndio urudi kuniuliza swali lako.
Unaonekana hata huna hulijualo kuhusu libya watu wanateseka. Hivi ww unalijua jeshi? Au unaonaga magwanda tu alafu unakuj kupiga tantalila zako hapaWaulize libya maisha walioishi kabla na baada ya alivyofanya mapinduzi ya kijeshi Muammar Gaddafi, nchi ikaongozwa kijeshi. Halafu ndio urudi kuniuliza swali lako.
Soma vizuri ulichokiandika, bila shaka hukuelewa alichokiandika.Unaonekana hata huna hulijualo kuhusu libya watu wanateseka. Hivi ww unalijua jeshi? Au unaonaga magwanda tu alafu unakuj kupiga tantalila zako hapa
MKE WAKE KATEYLIWA MIAKA KIBAO ANAKUL BATA USAKiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki.
ITV Tanzania
Mpaka Dkt. Kiiza Besigye aliyekuwa Kiongozi wa Upinzani 'Kabambe' nchini Uganda amekuja na 'Kituko' hiki, naamini 'Uchizi' umeshampata rasmi.