Pre GE2025 Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo.

Mtanzania kataa huo utapeli.

# Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?
 
Ni utapeli unao fanywa na vyama vya upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo.

Zuzumagic
 
Vyama vya upinzani havitaki kuchukua Dola,wao wanataka Ruzuku yao tu ili maisha yaendee!!
 
Pole, Mkuu...!

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Ni utapeli unao fanywa na vyama vya upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo.

Mtanzania kataa huo utapeli.

# Come 2025, I will "Samia" my vote . What
 
Vyama vya upinzani havitaki kuchukua Dola,wao wanataka Ruzuku yao tu ili maisha yaendee!!
Serikali ya CCM isingetumia nguvu ya dola kushinda uchaguzi kama vyama vya upinzani havitaki kuchukua dola? Unaikumbuka kampeni ya mwendazake ya kuiua CHADEMA?
 
Matapeli ni matapeli tu watu wapo kazini Baada ya watu kukosa ajira wakaamua wajiajiri kwa kuanzisha vyama vya siasa

Vyama vingine ata ofisi havina
Vingine ni matawi ya CCM
 
Back
Top Bottom