Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ndiyo maana amejiita chizi maarifaWewe ni Mataga au Chadema?
Ndiyo maana amejiita chizi maarifa
Wewe ndiyo hufai. Wamesusia baadhi ya chaguzi matokeo ni yapi ?! 2016 Zanzibar walisusia kilichotokea ni kuwepo kwa wapinzani waigizaji walioishia kupewa uwaziri .
2019 Baada ya figisu nyingi CHADEMA walisusia uchaguzi wa serikali za mitaa. Kilichotokea ni nini ?! Ni Ccm kudai kushinda kwa kishindo na hivyo Cdm kupoteza vijiji, mitaa, na vitongoji vyote walivyokuwa wanaviongoza. Sasa hasara ni ya Nani ?!.
Tanzania, wananchi wangekuwa na silka na hulka za vurugu . Hayo mambo ya katiba na Tume huru vingeshapatikana. Wanaotawala wametumia mwanya wa wananchi kuwa wastaarabu kuwanyima stahili yao.
Unasema nini na unatetea nini ?!. Kama play ground ingekuwa neutral usingesema hayo. Nashangaa mtu kutamba kwenye uchaguzi uliojaa hila.Kule vyama au chama kususia uchaguzi ni suicidal, self distraction na kutokuwa na vision. 2015 ulikuwa ni mwaka wa Wapinzani lakini walichezea shillingi chooooooni! 2020 CUF, ACT-Wazalendo hawatapata mbunge hata mmoja Tanzania Bara, pia CUF haitapata mwalikishi kule Zenj!
Huwezi kuacha kushiriki uchaguzi hata kama tume si huru nchi nyingi haki haiombwi lakini hutolewa kwa nguvu na njia moja ni kushiriku uchaguzi
Tanzania, wananchi wangekuwa na silka na hulka za vurugu . Hayo mambo ya katiba na Tume huru vingeshapatikana. Wanaotawala wametumia mwanya wa wananchi kuwa wastaarabu kuwanyima stahili yao.