Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo.
Vyama vya upinzani siwaoni huku Mitaani kwetu wakijipanga kwa chaguzi hizi. Vyama vya upinzani msije mkailaumu CCM kwa kushinda chaguzi za Serikali za Mitaa kwa asilimia 98 kwa sababu hamjajipanga kisawasawa.

Kama chaguzi zitakuwa zile za kuiba na polisi kazi itakuwa bure tatizo la katiba liko palepale. ccm wanazunguka ovyo ovyo kwa pesa ya umma lazima ujue hilo