Pre GE2025 Vyama vya Upinzani visije vikailaumu CCM kwa Chaguzi zinazokuja za mwaka 2024 na 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo.

Vyama vya upinzani siwaoni huku Mitaani kwetu wakijipanga kwa chaguzi hizi. Vyama vya upinzani msije mkailaumu CCM kwa kushinda chaguzi za Serikali za Mitaa kwa asilimia 98 kwa sababu hamjajipanga kisawasawa.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

- Kuelekea 2025 - Vyama vya upinzani Tanzania na siasa za maigizo ya kukipinga chama Tawala
 
Ubora wa Mazezeta

Mbona inatangazwa ccm kushinda ni lazima hakuna neno Mungu akipeda!!
 
Ccm kushinda ni lazima au hukumsikia yule dc wa kule wapi sijui alivyosema

Ova
 
Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo.

Vyama vya upinzani siwaoni huku Mitaani kwetu wakijipanga kwa chaguzi hizi. Vyama vya upinzani msije mkailaumu CCM kwa kushinda chaguzi za Serikali za Mitaa kwa asilimia 98 kwa sababu hamjajipanga kisawasawa.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

- Kuelekea 2025 - Vyama vya upinzani Tanzania na siasa za maigizo ya kukipinga chama Tawala

Kama chaguzi zitakuwa zile za kuiba na polisi kazi itakuwa bure tatizo la katiba liko palepale. ccm wanazunguka ovyo ovyo kwa pesa ya umma lazima ujue hilo
 
Back
Top Bottom