johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
John wewe ni mchochezi,kwanini vyama visivyo kuwa na wabunge,unakuwa kama kivumishi kielezi.Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa.
Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa.
Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
Vyama gani?🤣Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa.
Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
Muunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!
Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.
Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK
Chanzo: Habari Leo
…….................................................
Kumbe ni vile vilivyomo mfukoni wa chama kijani sio.Je niwaulize pia wanasemaje kuhusu tozo,corona,na hali ya democrasia taifani mwetu na ni yapi maoni yao kuhusu katiba mupya.?Muunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!
Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.
Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK
Chanzo: Habari Leo
…….................................................
Hawajaweka Bayana itakuwa lini! Ngoja tusubir muda wao ukifika!Wamesema muda sahihi ni upi au lini?
Hivyo ni vikundi vya mchiriku vimekodiwa na magaidi wa kijadi kuja kusherehesha, wapuuzwe tuMuunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!
Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.
Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK
Chanzo: Habari Leo
…….................................................
Wapuuzwe na nani sasa?Hivyo ni vikundi vya mchiriku vimekodiwa na magaidi wa kijadi kuja kusherehesha, wapuuzwe tu
Keep on doubting,kwa kuwa ndio furaha yako ndio furaha yenu kuwahujumu wale wanaopigania maslahi ya kweli ya mtanzania na taifa letu.Sasa kama hili dogo tu limewashinda Chadema, ku-mobilize na kupata support kutoka kwa vyama vyengine vya upinzani juu ya agenda yao ya "katiba" mpya wataweza lipi??
Kuendesha serikali??
I strongly doubt it.