Serikari ipi mpaka mtu ashindwe kuiendesha? Hii ambayo hata panya anaweza kuwa kiongozi na akafanya vizuri zaidi ya watuSasa kama hili dogo tu limewashinda Chadema, ku-mobilize na kupata support kutoka kwa vyama vyengine vya upinzani juu ya agenda yao ya "katiba" mpya wataweza lipi??
Kuendesha serikali??
I strongly doubt it.
Hivi vindezi vya lumumba huwa vinaibukaga pindi ugali ukiwekwa mezaniMuunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!
Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.
Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK
Chanzo: Habari Leo
…….................................................
Muunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!
Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.
Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK
Chanzo: Habari Leo
…….................................................
Na wenye akili timamu.Wapuuzwe na nani sasa?
hata katiba iliyopo sioni matumizi yake, heri viongozi wajiongoze wenyewe na familia zao, wakalime na kutafta maisha ka watu wengine,Muunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!
Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.
Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK
Chanzo: Habari Leo
…….................................................
Hapo hakuna chama cha siasa bali vibaraka wa dikteta wa sasaMuunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!
Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.
Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK
Chanzo: Habari Leo
…….................................................
sasa hapa kuna chama gani zaidi ya magenge ya mtaani?DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK
Ukiona hakipo ujue kinaungana na wanaodai katiba mpya 😀 😀 😀 👏 👏 😀Sijaiona PPT maendeleo , chama nachokitumikia mimi