chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hakika lililoandikwa na Mwenyezi Mungu kabla mbingu hazijaumbwa haliepukiki.
Uongozi wa mama Samia umezidi "kuwakuna" watu na taasisi mbalimbali, baada ya Lissu, Mbowe, msigwa, taasisi za kimataifa, Sasa gwiji la Siasa za upinzani, Augustine Lyatonga Mrema ametoa ya moyoni, kwamba ni Samia tu ndiye ataivusha nchi mwaka 2025.
Mrema ni moja kati wa wazee wanaoheshimika na walioacha alama katika siasa za Tanzania kuliko mwanasiasa yeyote yule wa upinzani mpaka Sasa. Mara nyingi hutoa kauli baada ya kufanya uchambuzi wa kina wa masuala mbalimbali ya kisiasa.