Vyama vya upinzani vyazidi kumkubali Rais Samia, Augustine Lyatonga Mrema ajiapiza kumpigia kampeni mwaka 2025

Vyama vya upinzani vyazidi kumkubali Rais Samia, Augustine Lyatonga Mrema ajiapiza kumpigia kampeni mwaka 2025

Huyu ndie rais atakayeweka historia kwa kukubali kushindwa kwenye box la kura na kukabidhi madaraka kwa amani kutoka ccm kwenda CHADEMA
Hakuna jambo kama Hilo Kutokea ktk Nchi yangu TANZANIA, engine yetu Iko vizuri sana.

Atasaidia kupatikana KATIBA mpya 2026 na atapumzika na wajukuu wake.

Tatamkumbuka Kwa Hilo. Amen
 
Si alimpigia debe JPM pia! Msimshangae, Mrema alikwa yule wa NCCR-Mageuzi huyu wa TLP ni mwingine - hataki kupoteza ile nafasi ya uenyekiti wa parole
 
Hakuna jambo kama Hilo Kutokea ktk Nchi yangu TANZANIA, engine yetu Iko vizuri sana.

Atasaidia kupatikana KATIBA mpya 2026 na atapumzika na wajukuu wake.

Tatamkumbuka Kwa Hilo. Amen
Unabisha nini wewe ?
 
Unabisha nini wewe ?
Namaanisha Ili hayo yafanikiwe itangulie KATIBA mpya kwanza.

Katiba mpya itasaidia kuboresha vyama vya siasa Kwa ujumla viwe na Dira moja kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni nk.

Ushindi wa wote ni KATIBA mpya, bt ushindi wa CDM b4 Katiba ni WA wachache hivyo HAMTAUPATA.

Nawaonya kwa JINA la MUNGU Alie hai, CDM msikubali kuingia ktk Uchaguzi kabla ya Katiba, nafasi ya URAIS HAMTAIPATA. Amen
 
Nini maana ya Upinzani ?, Kama unaunga mkono kiitikadi na unaona kila kitu kinakwenda sawa kuendelea kuchukua nafasi ya upinzani (alternative) ni kuwanyima fursa na nafasi watu wenye fikra / mlengo tofauti..

Huu ni muendelezo wa maigizo na kupotezeana muda huku watu wakigawana keki ya taifa...
 
Back
Top Bottom