Mtake radhi babu yako.2025 atakuwepo?
TeteteteteMtake radhi babu yako.
Au unataka ukamrithi bibi yako
Hata kama atakuwepo ni lazima atakuwa kitandani, kama sasa hivi analishwq hawezi kula mwenyewe hiyo nguvu ya majukwaani aitowe wapi?2025 atakuwepo?
Nitajie mwenyekiti wa chama cha Upinzani ambaye siyo CCMMrema naye anakupa shida, huyo ni CCM kindakindaki vile hamjui
Tumuombee sana2025 atakuwepo?
Kwa pale alipojiingiza kuna hatari snTumuombee sana
Unauhakika wanao mzunguka na kufaidi uwepowake watakubali???.Huyu ndie rais atakayeweka historia kwa kukubali kushindwa kwenye box la kura na kukabidhi madaraka kwa amani kutoka ccm kwenda CHADEMA
Asijaribu tu kushika ile simuKwa pale alipojiingiza kuna hatari sn
Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho..na huo mwisho utaletwa na hao wanaomzungukaUnauhakika wanao mzunguka na kufaidi uwepowake watakubali???.
Wapigaji hawata ruhusu kamwe kumpoteza sababu wanajua wanacho faidi akiwa pale.
Think twice.
anaona anaweza kusoma?Asijaribu tu kushika ile simu
Ngoja tuone.Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho..na huo mwisho utaletwa na hao wanaomzunguka
Mwisho huletwa na wanaomzunguka, neno zito sana,Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho..na huo mwisho utaletwa na hao wanaomzunguka
Utawala utakapofitinika wataanza kutafutanaMwisho huletwa na wanaomzunguka, neno zito sana,
Muda ni hakimu mzuriNgoja tuone.