Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi nchini Tanzania. Kwa uchapakazi, uzalendo, uthubutu, ujasiri na Uungwana wa mheshimiwa Rais Magufuli, wananchi wengi ndani na nje ya bara la Afrika wanatamani sana angekuwa Rais wa nchi zao.
Kama taifa, ushahidi upo wazi katika kasi ya miundo mbinu ya maendeleo iliyojengwa 2015-2020.
Kwa muhula wa pili, 2020-2025 itakuwa ni kuwahudumia watu baada ya kukamilisha vitu.
Barabara, madaraja, zahanati, hospitali, vivuko, ndege, meli, shule, vyuo, mahakama, reli, mabwawa ya umeme, n.k
Kwa haya tuyaonayo yatokanayo na Uongozi thabiti wa Jemedari JPM, ni jambo jema kama wanachama na viongozi wa vyama vyote kutangaza Azimio LA Kumuunga Mkono JPM katika kinyanganyiro cha Urais.
NCCR, CHADEMA, CUF, ACT, na CCM wachuane katika ubunge, lakini katika URAIS, kumuunge mkono Rais Imara aliyepo.
Nchi yenye Rais imara haina haja ya kutumia pesa kumchagua Rais ambaye tayari yupo, hizo pesa zinaweza kutumika katika shughuli zingine za Kimaendeleo.
Naomba kuwasilisha