Vyama vyote vya siasa vifutwe tusiwe na vyama vya siasa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Nadhani wakati umefika Sasa Tanzania tufute vyama vyote vya siasa na nchi isiwe na Chama chochote cha siasa.

Ujengwe mfumo ambao wananchi wataruhusiwa kuchagua viongozi wao bila ya kupitia vyama vya siasa ama kikundi chochote kile.

Kwenye ngazi zote ziwekwe sifa za kugombea na watakaotaka kugombea wagombee kibnafsi na wakichaguliwa wawe viongozi Kwa mhula maalum utakaokuwa kikatiba.

Mali zote za Sasa za vyama vya siasa zigeuzwe ziwe za umma na kukabidhiwa Halmashauri zilipo Mali hizo.
 
peleka mihemko na makasiriko yako useless kwa wafuata mkumbo wenzako huko gentleman.

this is pure nonsense 🐒
 
Nadhani wakati umefika Sasa Tanzania tufute vyama vyote vya siasa na nchi isiwe na Chama chochote cha siasa.

Ujengwe mfumo ambao wananchi wataruhusiwa kuchagua viongozi wao bila ya kupitia vyama vya siasa ama kikundi chochote kile.

Kwenye ngazi zote ziwekwe sifa za kugombea na watakaotaka kugombea wagombee kibnafsi na wakichaguliwa wawe viongozi Kwa mhula maalum utakaokuwa kikatiba.

Mali zote za Sasa za vyama vya siasa zigeuzwe ziwe za umma na kukabidhiwa Halmashauri zilipo Mali hizo.
It makes no difference! Wewe unadhani hii mitandao ya wahuni iliyopo itapotea? Tofauti pekee ni kwamba tutatoka kwenye formal coalitions kwenda kwenye informal coalitions ambazo zitakuwa za kihuni zaidi—operating under the jungle law.
 
Tungekuwa na Jeshi la wazalendo wanaoipenda nchi na si matumbo yao basi Jeshi lingechukua nchi kwa miaka 5 na kufuta vyama vyote vya siasa na katika kipindi hicho iandikwe Katiba mpya ya Wananchi inayokidhi matakwa ya sasa then baada ya kupatikana Katiba mpya ndiyo viandikishwe vyama vya siasa visivyozidi vinne ndiyo uitishwe uchaguzi utakaofanyika katika uwanja sawa wa kisiasa.
 
CCM ndio wameshikilia mpini wa kisu, hawatakuelewa uwaambie wakiachie kisu halaf et aje yeyote yule mwenye sifa ndo aje ashike mpini (kisu)kukata nyama. Unataka risasi ya kichwa wew
 
It makes no difference! Wewe unadhani hii mitandao ya wahuni iliyopo itapotea? Tofauti pekee ni kwamba tutatoka kwenye formal coalitions kwenda kwenye informal coalitions ambazo zitakuwa za kihuni zaidi—operating under the jungle law.
Hoja yako naielewa... Kama hakutakuwa na utofauti basi tufanye angalau utofauti kwenye kufikia huko kusikokuwa na utofauti.
 
Nadhani wakati umefika Sasa Tanzania tufute vyama vyote vya siasa na nchi isiwe na Chama chochote cha siasa.

Ujengwe mfumo ambao wananchi wataruhusiwa kuchagua viongozi wao bila ya kupitia vyama vya siasa ama kikundi chochote kile.

Kwenye ngazi zote ziwekwe sifa za kugombea na watakaotaka kugombea wagombee kibnafsi na wakichaguliwa wawe viongozi Kwa mhula maalum utakaokuwa kikatiba.

Mali zote za Sasa za vyama vya siasa zigeuzwe ziwe za umma na kukabidhiwa Halmashauri zilipo Mali hizo.
Interesting Topic
 
Halafu Ccm tule wapi?..
 
Jeshi limeonesha linatosha.
 
Back
Top Bottom