Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
peleka mihemko na makasiriko yako useless kwa wafuata mkumbo wenzako huko gentleman.Nadhani wakati umefika Sasa Tanzania tufute vyama vyote vya siasa na nchi isiwe na Chama chochote cha siasa.
Ujengwe mfumo ambao wananchi wataruhusiwa kuchagua viongozi wao bila ya kupitia vyama vya siasa ama kikundi chochote kile.
Kwenye ngazi zote ziwekwe sifa za kugombea na watakaotaka kugombea wagombee kibnafsi na wakichaguliwa wawe viongozi Kwa mhula maalum utakaokuwa kikatiba.
Mali zote za Sasa za vyama vya siasa zigeuzwe ziwe za umma na kukabidhiwa Halmashauri zilipo Mali hizo.
It makes no difference! Wewe unadhani hii mitandao ya wahuni iliyopo itapotea? Tofauti pekee ni kwamba tutatoka kwenye formal coalitions kwenda kwenye informal coalitions ambazo zitakuwa za kihuni zaidi—operating under the jungle law.Nadhani wakati umefika Sasa Tanzania tufute vyama vyote vya siasa na nchi isiwe na Chama chochote cha siasa.
Ujengwe mfumo ambao wananchi wataruhusiwa kuchagua viongozi wao bila ya kupitia vyama vya siasa ama kikundi chochote kile.
Kwenye ngazi zote ziwekwe sifa za kugombea na watakaotaka kugombea wagombee kibnafsi na wakichaguliwa wawe viongozi Kwa mhula maalum utakaokuwa kikatiba.
Mali zote za Sasa za vyama vya siasa zigeuzwe ziwe za umma na kukabidhiwa Halmashauri zilipo Mali hizo.
This is not fair at all.akili zako ziko matakoni !
Hoja yako naielewa... Kama hakutakuwa na utofauti basi tufanye angalau utofauti kwenye kufikia huko kusikokuwa na utofauti.It makes no difference! Wewe unadhani hii mitandao ya wahuni iliyopo itapotea? Tofauti pekee ni kwamba tutatoka kwenye formal coalitions kwenda kwenye informal coalitions ambazo zitakuwa za kihuni zaidi—operating under the jungle law.
Interesting TopicNadhani wakati umefika Sasa Tanzania tufute vyama vyote vya siasa na nchi isiwe na Chama chochote cha siasa.
Ujengwe mfumo ambao wananchi wataruhusiwa kuchagua viongozi wao bila ya kupitia vyama vya siasa ama kikundi chochote kile.
Kwenye ngazi zote ziwekwe sifa za kugombea na watakaotaka kugombea wagombee kibnafsi na wakichaguliwa wawe viongozi Kwa mhula maalum utakaokuwa kikatiba.
Mali zote za Sasa za vyama vya siasa zigeuzwe ziwe za umma na kukabidhiwa Halmashauri zilipo Mali hizo.
Ebu fafanu hapa kakaakili zako ziko matakoni !
Labda pia siyo kaka😃😄Ebu fafanu hapa kaka
Halafu Ccm tule wapi?..Nadhani wakati umefika Sasa Tanzania tufute vyama vyote vya siasa na nchi isiwe na Chama chochote cha siasa.
Ujengwe mfumo ambao wananchi wataruhusiwa kuchagua viongozi wao bila ya kupitia vyama vya siasa ama kikundi chochote kile.
Kwenye ngazi zote ziwekwe sifa za kugombea na watakaotaka kugombea wagombee kibnafsi na wakichaguliwa wawe viongozi Kwa mhula maalum utakaokuwa kikatiba.
Mali zote za Sasa za vyama vya siasa zigeuzwe ziwe za umma na kukabidhiwa Halmashauri zilipo Mali hizo.
Sasa wewe ndiyo umeelewa...Halafu Ccm tule wapi?..
Jeshi limeonesha linatosha.Nadhani wakati umefika Sasa Tanzania tufute vyama vyote vya siasa na nchi isiwe na Chama chochote cha siasa.