figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Hadi sasa hivi vyama vyama zaidi ya 10 vya Upinzani venye nia ya kuiondoa CCM madarakani, vipo kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Je, vimefueahhishwa na mchakayo wa Uchaguzi Serikali za Mitaa?
Nawaomba vyama vifuatavyo vijipambanue kuunga mkono au kutounga mkono Mchakato unaoendelea wa Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024.
Vyama hivyo ni DP, AAFP, Demokrasia makini, SAU, TLP, UDP, NRA, UMD, TADEA, CCK, ADC, CHAUSTA na PPT Maendeleo.
Tumezoea kuona wakipongeza kazi za Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi na Wasaidizi wake. Wanadai CCM iungwe Mkono sababu ilituletea Uhuru.
Nashangaa hadi sasa hawajampongeza Waziri wa TAMISEMI baba Mkwe Mchengerwa wala hawajalalamika figisu za uchaguzi Serikali za Mitaa.
Soma Pia: Vyama vya upinzani vijijenge kitaasisi na sio kusubiri uchaguzi na kuanza kuleta malalamiko
Wanasubiri nini kutoa neno? Au hawajawezeshwa?
Viongizi wao watoke hadharani waseme neno lolote nafsi zetu zipone.
Kuna habari zinadai vyama hivi vimepandikizwa na CCM ili vipitishe ajenda za Serikali kwa kivuli cha vyama vingi Tanzania. Kuna ukweli gani?