Vyeo vya Maafisa Jeshi vilivyopo na ambavyo havitumiki katika Jeshi la taifa kwa sasa

Nimeandika vyeo vya maasifa wa jeshi na nilitaka kusisitiza vyeo ambavyo havitumiki Tanzania kwani vyeo vingine vilishwahi kutajwa humu siku nyingi sana; soma title vizuri haisemi vyeo vya kijeshi mbali inasema vyeo vya maafisa wa jeshi
Kwasisi wengine hatujui tofauti labda ungeanza kutufundisha tofauti za vyeo vya maafisa na kijeshi
 
lakini baadaye tulifanya transition kwenda mfumo wa kimarekani kama ambavyo Kanada na Uganda pia zilifanya, tukaondoa cheo cha Brigadier na kuweka Brigadier General. Wale waliokuwa Mabrigadier wakati huo wakapanda kuwa Brigadier General.
Hii sikuijua
 
Lance corporal, walikuwa wakivaa V moja. Kwa sasa hiko cheo hakipo majeshi yote
 
Soma vizuri ulelewa kabla ya kujibu usichojua. Ni wapi nimesema Tanzania kuna Brigadier Mkuu? Usidakie mambo kabla ya kuyatafakari.
Hiyo mkuu nimekuita Wewe ila namaanisha Tanzania tuna Brg Gen hakuna Brigedia
 
Acha kutuvuruga basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…