HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,192
- 3,486
Unaposisitiza kuwa tatizo si dhana bali ni mifumo, naomba ufafanue Mkuu,,,Bado unarudi pale pale kwenye DHANA....hali ya kuwa hili jambo halihitaji dhana bali linataka mifumo....kiungozi wa umma anatakiwa kubanwa kiuwajibikaji kimfumo na sio kwa kumjengea DHANA ya kuwa kwa hali hii au kwa mazingira haya atafanya vizuri......
Nchi zote zilizoamua kuyatafuta maendeleo kwenye jamii zao zilianza na kuimarisha mifumo kwa viongozi wao na sio kuwajengea DHANA... inatakiwa dhana yake nzuri ikutane na mfumo unaomdhibiti ili kuimarisha uwajibikaji
Hapo ngumi zitarushwa hadi kukuche,hiyo labda iingie kwenye katiba mpya na utekelezaji uanze baada ya kupata uongozi mpya katika katiba mpya.Habari Tanzania !
Pole kwa uchovu wa hapa na pale kwasababu ya kulitumikia Taifa letu hili la Tanzania.
Poleni sana wanasiasa na watu wengine wenye njaa za madaraka na Mamlaka kwa mtazamo wangu huu.
Nawaomba sana ikiwapendeza kwenye lile LIKATIBA letu tutakaloliboresha muweke ukomo wa uongozi hasa hizi nafasi za Kisiasa zenye Mamlaka mfano;
1. Rais
2. Mawaziri
3. Makatibu na Wakurugenzi Wote
4. Wakuu wa Mikoa na Wilaya
5. Vyombo vya Ulinzi na Usalama
Umri wa kutumikia hivyo vyeo usizidi miaka 45. Hii tuikazie kweli kweli na tuamue kwa pamoja. Sio kila mtu awe kiongozi sawa.
Sababu ni hizi zifuatazo;
1. Tuwaze sasa kuwajengea watoto uwezo wa kuwa watumishi wa Umma mahili, majasiri na shupavu na wenye nguvu kuu.
2. Tuimarishe Elimu yetu kama tunavyofanya sasa na tuwekeze kwenye uzoefu hasa wa kiungozi kuanzia ngazi ya Shule za Msingi na Sekondari mpaka Vyuo.
3. Hawa vijana wanauwezo wa kwenda kasi na mabadiliko na maendeleo ya tehama duniani tofauti na viongozi waliopo sasa Sokoni.
Karibu
Vyote viwili vinafanyika kwa uzuri tu. Tatizo tuna tamaa sana. Tunaamini ukiwa mzee huwezi kuiba; sijui unakuwa umri wa kufa upo karibu na manadharia mengi sana. Ila mkubali mkatae Umri chini ya 45 unakuwa ni mwepesi kutumika na hata uwezo wako wa kufikiri kwa usahihi unakuwa hai tofauti na hao wazee ambao leo hii wanatupa tabu duniani tu.Kiongozi anazaliwa au anaandaliwa? kama Kiongozi anazaliwa hoja yako ipo sahihi...kama kiongozi anaandaliwa, kwa umri unaoutaka wewe anakuwa bado hajakomaa kiungozi..
Hapana. Sheria hapo iendelee kusema kuwa ukomo wa kuajiriwa utumishi wa Umma ubaki hiyo hiyo 45.Hapo ni sawa na kusema kustaafu utumishi wa umma kwa lazima uwe ni miaka 45. Kwanza hilo haliwezekani. Kutakuwa na idadi kubwa wa wastaafu wenye umri mdogo wanaoishi kifahari kwa kuhudumiwa na serikali.
Utumishi wa Umma sio zawadi ni uwajibikaji na haki.Bado unarudi pale pale kwenye DHANA....hali ya kuwa hili jambo halihitaji dhana bali linataka mifumo....kiungozi wa umma anatakiwa kubanwa kiuwajibikaji kimfumo na sio kwa kumjengea DHANA ya kuwa kwa hali hii au kwa mazingira haya atafanya vizuri......
Nchi zote zilizoamua kuyatafuta maendeleo kwenye jamii zao zilianza na kuimarisha mifumo kwa viongozi wao na sio kuwajengea DHANA... inatakiwa dhana yake nzuri ikutane na mfumo unaomdhibiti ili kuimarisha uwajibikaji
shida huo umri mihemko inakuwa mingi na busara ni sifuri..kupenda sifa na kujiona wewe ndo wewe wengine vilaza. Tumeona ngazi za huku chni viongozi vijana wasumbufu kweli...Halafu wengi wao ni wepesi kupaniki hata jambo likiwa dogo..umri sahihi wa uongoz ni kuanzia 45-55.Vyote viwili vinafanyika kwa uzuri tu. Tatizo tuna tamaa sana. Tunaamini ukiwa mzee huwezi kuiba; sijui unakuwa umri wa kufa upo karibu na manadharia mengi sana. Ila mkubali mkatae Umri chini ya 45 unakuwa ni mwepesi kutumika na hata uwezo wako wa kufikiri kwa usahihi unakuwa hai tofauti na hao wazee ambao leo hii wanatupa tabu duniani tu.
Hoja yako ikigeuzwa kuwa ya sifa za kimaadili inakuwa ni nzuri zaidi kuliko hoja ya umri wa uteuzi.Hapana. Sheria hapo iendelee kusema kuwa ukomo wa kuajiriwa utumishi wa Umma ubaki hiyo hiyo 45.
Brother amini nakwambia tutaondoa tamaa ya aina ya watumishi tunaowataka. Mtu/ Watu watachagua wenyewe kuwa watumishi wa Umma au Viongozi wenye mamlaka maana akipiga hesabu zake vibaya Gari linamuacha la Madaraka.
Tutapunguza matamaa sana. Wewe fikiria Afisa Mwandamizi taasisi fulani akifikisha umri miaka 45; anajua fika nimekosa sifa za kugombea Ubunge maana sitaweza kuwa waziri na maujinga mengine wanvyokuwa na matamaa mchecheto.
Haaaaahaaaaa labda umejichulia mfano wewe. Ila inawezekana kabisa. Ni maamuzi tu.shida huo umri mihemko inakuwa mingi na busara ni sifuri..kupenda sifa na kujiona wewe ndo wewe wengine vilaza. Tumeona ngazi za huku chni viongozi vijana wasumbufu kweli...Halafu wengi wao ni wepesi kupaniki hata jambo likiwa dogo..umri sahihi wa uongoz ni kuanzia 45-55.
Yaani vyote kwa pamoja mzee. Likatiba liseme tu.Hoja yako ikigeuzwa kuwa ya sifa za kimaadili inakuwa ni nzuri zaidi kuliko hoja ya umri wa uteuzi.
Maana yake rais awe na miaka 35 au chini akiingia awamu ya kwanza,unamjua kijana mwenye umri huo hali yake ya kimwili na utulivu wa kiakili!?..huyo si bado anasumbuliwa na mapenzi,jazba nk!Sijakupinga na mimi. Ukumbuke huu utaratibu wa mambo ya Umri ni hao hao viongozi walikaa na wakaona busara kwao kupitia Mfumo huo. Ila kwa uhalisia haufanyi kazi 100%.
Unajua tukiweka ukomo wa miaka 45. Unajua mambo mengi hii nchi yatabadilika na yatakuwa tofauti kuanzia; Jamii, Siasa, Uchumi, Sheria, Tehama nk
Huwezi kuona uzuri wa hili wazo endapo ukiwa unatamaa. Ila ukiishinda tamaa ndani yake kuna uzuri sana.
Haaaaahaaaaa kwani hao wa sasa una uhakika hawasumbuliwi na mapenzi ? Unatumia sifa ipi kujua umri huu mtu kakomaa akili na anautulivu?Maana yake rais awe na miaka 35 au chini akiingia awamu ya kwanza,unamjua kijana mwenye umri huo hali yake ya kimwili na utulivu wa kiakili!?..huyo si bado anasumbuliwa na mapenzi,jazba nk!
Kijana wa miaka 30 ni risk kumpa uongozi wa nchi,mi nina 45 sasa hivi,najiona nilivyotulia,naona makosa ya kimaamuzi niliyofanya nikiwa 20s,30sHaaaaahaaaaa kwani hao wa sasa una uhakika hawasumbuliwi na mapenzi ? Unatumia sifa ipi kujua umri huu mtu kakomaa akili na anautulivu?
Mbona wapo wazee wenye mapungufu makubwa wengi hata mtaani kwako unawajua. Usiweke hofu sasa kijana. Hata Mungu hupenda kufanya kazi na Vijana.
Haya
Umri wa kuanzia kutumika nao uweje?Habari Tanzania !
Pole kwa uchovu wa hapa na pale kwasababu ya kulitumikia Taifa letu hili la Tanzania.
Poleni sana wanasiasa na watu wengine wenye njaa za madaraka na Mamlaka kwa mtazamo wangu huu.
Nawaomba sana ikiwapendeza kwenye lile LIKATIBA letu tutakaloliboresha muweke ukomo wa uongozi hasa hizi nafasi za Kisiasa zenye Mamlaka mfano;
1. Rais
2. Mawaziri
3. Makatibu na Wakurugenzi Wote
4. Wakuu wa Mikoa na Wilaya
5. Vyombo vya Ulinzi na Usalama
Umri wa kutumikia hivyo vyeo usizidi miaka 45. Hii tuikazie kweli kweli na tuamue kwa pamoja. Sio kila mtu awe kiongozi sawa.
Sababu ni hizi zifuatazo;
1. Tuwaze sasa kuwajengea watoto uwezo wa kuwa watumishi wa Umma mahili, majasiri na shupavu na wenye nguvu kuu.
2. Tuimarishe Elimu yetu kama tunavyofanya sasa na tuwekeze kwenye uzoefu hasa wa kiungozi kuanzia ngazi ya Shule za Msingi na Sekondari mpaka Vyuo.
3. Hawa vijana wanauwezo wa kwenda kasi na mabadiliko na maendeleo ya tehama duniani tofauti na viongozi waliopo sasa Sokoni.
Karibu
Umri wa ajira/utumishi wa umma ni miaka mingapi ? Basi ndio huo huo utakaotumika.Umri wa kuanzia kutumika nao uweje?
Kuwepo kwa wazee wenye mapungufu hakuondoi uhalisia kuwa ukitaka mwongozo wa maamuzi, mazuri, ushauri mara nyingi vijana wanawatafuta(zingatia TAFUTA) wazee wenye busara na hekima ili kupata ufumbuzi wa yanayowasibu.Haaaaahaaaaa kwani hao wa sasa una uhakika hawasumbuliwi na mapenzi ? Unatumia sifa ipi kujua umri huu mtu kakomaa akili na anautulivu?
Mbona wapo wazee wenye mapungufu makubwa wengi hata mtaani kwako unawajua. Usiweke hofu sasa kijana. Hata Mungu hupenda kufanya kazi na Vijana.
Haya
Kumbuka siku zote: Kiongozi sio mshauri bali yeye ni mtenda kazi pekee. Ndio maana kuna kuwa na Mabalaza ya Wazee ambao hutoa ushauri. Hao wazee unaowataka wewe wanaweza wakawekwa kwenye majukwaa ya Mabalaza huko wawashauri viongozi Vijana na sio tuwe na Wenye mamlaka wazee kama ilivyo sasa tutatembea mwendo wa kobe kila eneo. Yashike haya maneno yangu.Kuwepo kwa wazee wenye mapungufu hakuondoi uhalisia kuwa ukitaka mwongozo wa maamuzi, mazuri, ushauri mara nyingi vijana wanawatafuta(zingatia TAFUTA) wazee wenye busara na hekima ili kupata ufumbuzi wa yanayowasibu.
Kuwa na viongozi vijana ni sawa, ila sio kuweko kigezo cha umri kama sifa kuu bali busara na uwezo wa mtu husika.
Kumbuka, viongozi vijana wanaojitambua hutafuta mwongozo na ushauri kutoka kwa wazee wenye hekima katika kutimiza wajibu wao.
Kwanza ningependa kudadavua ni maana ya dhana kwa ujumla wake......Unaposisitiza kuwa tatizo si dhana bali ni mifumo, naomba ufafanue Mkuu,,,
ni mifumo ipi mahsusi unayoiona haipo au ni dhaifu kwenye uongozi wa umma?
Mifumo hiyo ingewekwa wapi na ingeendeshwaje ili kumzuia kiongozi yeyote, mzuri au mbaya kukiuka uwajibikaji?
Unaposema nchi zilizofanikiwa zilianza na mifumo, unaweza kutaja mfano wa mfumo mmoja uliowekwa kwanza kabla ya mabadiliko ya watu au fikra?
Na ikiwa dhana nzuri lazima ikutane na mfumo unaomdhibiti, je, ni nani anayeunda na kulinda mfumo huo kama si watu wale wale unaosema tusitegemee dhana zao?
Mwisho, je, tunapambana na tatizo la watu au tunakubali kuwa bila mfumo thabiti, hata watu wenye nia njema huishia kushindwa?
Salim Ahmed Salim angekua na mawazo kama yako basi leo hii tusingekuwa hapa na tusingepata nafasi hizi za kimataifa kwa urahisi na kuaminika.Kijana wa miaka 30 ni risk kumpa uongozi wa nchi,mi nina 45 sasa hivi,najiona nilivyotulia,naona makosa ya kimaamuzi niliyofanya nikiwa 20s,30s