Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Mkuu ujipangee watakumaliza wengine wako humuu...nilishawahi weka topic moja humu nkaponeaa mafuta na majiya mwamposaa mpaka kesho uniambii kitu kilaa hospt hakuna ugonjwaa mmhHabari Tanzania !
Pole kwa uchovu wa hapa na pale kwasababu ya kulitumikia Taifa letu hili la Tanzania.
Poleni sana wanasiasa na watu wengine wenye njaa za madaraka na Mamlaka kwa mtazamo wangu huu.
Nawaomba sana ikiwapendeza kwenye lile LIKATIBA letu tutakaloliboresha muweke ukomo wa uongozi hasa hizi nafasi za Kisiasa zenye Mamlaka mfano;
1. Rais
2. Mawaziri
3. Makatibu na Wakurugenzi Wote
4. Wakuu wa Mikoa na Wilaya
5. Vyombo vya Ulinzi na Usalama
Umri wa kutumikia hivyo vyeo usizidi miaka 45. Hii tuikazie kweli kweli na tuamue kwa pamoja. Sio kila mtu awe kiongozi sawa.
Sababu ni hizi zifuatazo;
1. Tuwaze sasa kuwajengea watoto uwezo wa kuwa watumishi wa Umma mahili, majasiri na shupavu na wenye nguvu kuu.
2. Tuimarishe Elimu yetu kama tunavyofanya sasa na tuwekeze kwenye uzoefu hasa wa kiungozi kuanzia ngazi ya Shule za Msingi na Sekondari mpaka Vyuo.
3. Hawa vijana wanauwezo wa kwenda kasi na mabadiliko na maendeleo ya tehama duniani tofauti na viongozi waliopo sasa Sokoni.
Karibu
Me ne water
Me na oil
firstlast...
Mungu akulindee