DOKEZO Vyeo vya Mamlaka viwe na ukomo wa umri mwisho uwe miaka 45

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu ujipangee watakumaliza wengine wako humuu...nilishawahi weka topic moja humu nkaponeaa mafuta na majiya mwamposaa mpaka kesho uniambii kitu kilaa hospt hakuna ugonjwaa mmh
Me ne water
Me na oil
firstlast...
Mungu akulindee
 
Unamtaka kiongozi ambaye bado anaenda disco?
 
Kwa lipi hasa Kaka Mkubwa?
Haya ni mawazo tu; yanaweza kuwa sawa au sio sawa.
 
Unamtaka kiongozi ambaye bado anaenda disco?
Una uhakika hao umri mkubwa hawaendi Disko?

Uhuni ni hulka na tabia ya mtu kutokana na malezi na mazingira aliyokulia.

Ukilelewa vibaya utakuwa mwenye tabia mbaya labda mpaka pale utake kujifunza kuwa mwema. Ila aliyelelewa vizuri; siku zote ni mzuri iwe tajiri au masikini.

Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…