Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

huwa wanapatikanaje kujaza hizi nafasi
 
TISS imegawanyika kuliko kawaida mwaka huu

Mpaka Samia hataki watu waende likizo kisa watafanya organization nje ya mfumo kumuondoa madarakani

Samia anabishana Sana na wakati!!
Rais wa Tanzania ni zaidi ya hizo takataka zote!! Utoto unakusumbua kunywa maji kakojoe ulale
 
Wale ambao nao ni mama ntilie huku mitaani kwetu wana vyeo gani?
Ila zamani walikua hawafahamiki lakini siku hizi baada ya kujiingiza kwenye wizi wa kura na kuingia na mabox yenye kura zilizopigwa kwenye vituo vya wapiga kura heshima imepungua kidogo. wamekuwa machawa😀😀😀
 
Sawa mtaalam
Lakini hiyo taasisi ni pana sanaa
Ndo maana kuna mpaka waganga wa kienyeji
wewe unaenda tibiwa lakini kumbe ndo unapeleka taarifa zako.😁
Hata mtu awe jumuiya ya kanisa,makanisa ya nyumbani au fellowship nk au kusali nyumba kwa nyumba au misikitini nk Tiss wapo na vyeo vyao haviko kwenye mfumo wa TiSS official hata awe boss yuko Jumuiya au msikitini desk officer hawezi wajua kabisa wako wengi wana rank kubwa hata kuliko yeye ila sio desk officers vyeo vya ofisini Wanakauka kimya wengine makenika,mama nitilie nk kumbe wanakuchora tu

Wanalipwa kupitia mafungu yasiyohojiwa hata na CAG

Tanzania kuwa na amani sio lelemama nchi imesukwa hasa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…