Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

Hivyo vyote vyeo umetaja ni vya wakaa maofisini desk officers
Mitaani kwenye field viko vingi kwenye hiyo list havimo kabisa hata kimoja
Si ndo ile no 1 wako mitaani na uraiani.
 
Shushushu anakuwa wapi kwenye mtiririko huu?
 
katika hivi muuaji mkuu ni yupi?
 
Kumbe ndo maana hawalindi rasilimali za Taifa, maana hakuna hicho kitengo bana.
 
Hivyo vyote vyeo umetaja ni vya wakaa maofisini desk officers
Mitaani kwenye field viko vingi kwenye hiyo list havimo kabisa hata kimoja
Wale wezi wa mabox ya kura za ccm wapo na vyeo gani kumbe?
Nakumbuka mwaka 2020 niliyoshuhudia kwenye kituo
Ccm inatutia aibu sana watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…