Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

Na Hawa UN department of political and peace building affairs (DPPA) nasikia kazi yao ku Analyse,kushauri political issues,kuzuia conflict na kutunza amani,huwa wanatoa ushauri kwa usalama wa taifa kwa mambo yanayotokea ila serikali haina habari
 
Wale wanaoteka na kufirimba watu wako group number ngapi hapo?
 

Hii ndio TISS!?
 

Okay.
Hivi ndio Vitengo vya TISS?
 
Asante sana kwa taarifa mkuu nilikuwa najua DGIS tu.
 
Uteuzi upya ni muhimu ili wale wanaopendelea ccm watoke wote
 
Na Hawa UN department of political and peace building affairs (DPPA) nasikia kazi yao ku Analyse,kushauri political issues,kuzuia conflict na kutunza amani,huwa wanatoa ushauri kwa usalama wa taifa kwa mambo yanayotokea ila serikali haina habari
Wakiacha kuisaidia ccm watapendwa sana kwani wanaonekana wapo fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…