Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

Kwahyo mkuu ambao hawapo kwenye huo mfereji ni wachimba chumvi tu kama lukaku mshamba au sio.
 
Naomba kujua vyeo vya wale wanaopewaga majukumu ya kuwa Bodaboda, Mama ntilie na vichaa huwa wanakuwa kwenye kundi gani? Na vyeo vyao huwaga ni vipi?

Ahsante
 

Kabla ya kusoma tujue kwanza kile cha yule aliyekuwa mkuu wa bavicha kabla ya kurudi nyumbani, u afisa kipenyo kimo?
 
Upuuzi mtupu
 
Anayemshauri ni abdul
 
TISS imegawanyika kuliko kawaida mwaka huu

Mpaka Samia hataki watu waende likizo kisa watafanya organization nje ya mfumo kumuondoa madarakani

Samia anabishana Sana na wakati!!
Kumuondoa madarakani wakuweke wewe au mbona unakua na mawazo ya kitoto sana
 
Tanzania si kuwa ina amani, ni kuwa bado wajinga ni wengi sana na wengi wanazalishwa kupitia Simba na Yanga na Elimu bure
 
Umenena vema sana, ila sifa ya nchi kusukwa sana sina iman nayo. Kma kweli watu kibao wangechunguzwa na mwenendo wa mambo ya ajabu kibao kama huduma mbovu, rushwa na mambo yote kama husuma mbovu na maryshwa ya ngono ma vyuoni yangekuw yameshabainika na kukomeshwa. Ila hivo vitu vipo na hufanywa wazi lkn hakun hatua zozote miaka nenda miaka rudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…