Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

Hapo namba 3 mkuu,
Ina maana hawa ndio walibaini kuwa fisi,nyani na bundi ndio huwa wanakata umeme kwenye SGR?
Kama jibu lako ni NDIO basi warudishwe shule ama hicho kitengo kifutwe.
Kama jibu lako ni HAPANA basi wafutwe kazi maana walishindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo kwani kukatika kwa umeme kwenye njia ya SGR ni kujaribu kuua maelefu ya Watanganyika.
 
Punguza kukaa vijiweni
 
Uongo wa kibwege sana, amani yetu haihusiani na hao chawa walio kitengo hicho useless cha TISS. Upole, uoga na uzoba ni kati ya factors zinazofanya nchi kuwa hivi licha ya mijizi iliyopo madarakani kuburuza wananchi kama ng'ombe.
 
Wote hao n chawa wa fisiemu
 
Afisa usalama halisi ni MWANANCHI.

Hao watu wote hupata taarifa kutoka kwa mwananchi.

Unakuta wilaya nzima, afisa usalama 3 au 4 watajuaje kila kitu.

Kwanza mfumo wa serikali wa siku hizi, watawala.hawataki kusikia kero, wanataka sifa tu na kufurahishana
 
Lengo lako ni nini ? Kututisha au, chukua hii , kila Raia mwema ni usalama kwa nchi yake , that's ipo kauli mbiu ya jeshi la police flani hivi ,na inayoendana na andiko lako.

Nchi ya kwetu wote lazima ilinda kwa wivu mkubwa
 
Kama ni hivyo, mbona wanashindwa kuwabaini "wasiojulikana"?
 
Security assistant /assistant security namba 1 na 2! Seriously bro! Unaleta akili za, kisamia na ki ccm hapa! Tuheshimiane bro! Vitu kama huijuhi kaa kimya tu
 
Hii siwezi kuiita usalama wa taifa, labda tuiite usalama wa viongozi, ingekuwa usalama wa taifa wale wote walioteka raia wangekuwa wametiwa hatiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…