Vyeti feki na nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma; kwavyo nitakukumbuka

Vyeti feki na nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma; kwavyo nitakukumbuka

Inasemekana aliyefukuza kazi wenzake kwa sababu ya vyeti fake yeye mwenyewe alikua na PhD fake. [emoji848]
 
Ni kweli JPM amekufa...ila yapo mambo muhimu ambayo kiukweli yanapaswa kuendelezwa ili nchi iende kule ambako wote tunakupenda..
 
Ila mlokua na vyeti vya kughushi mlikua wengi..!! Aahha jamaa akawatumbua bila ganzi
 
Back
Top Bottom