Affidavit of names ndiyo pa kuanzia.Dr JF nmembers naomba kusaidiwa mimi vyeti vyangu vya kuzaliwa na shule majina yake ni ya kiislam “Mwanaidi Juma Katani” lakini ndoa yangu ni ya kikristo na majina ya vyeti vya ubatizo na ndoa ni “Janeth Juma Katani”. Sasa nimeshaajiriwa serikalini na nataka nipeleke vyeti vya ndoa kwa afisa utumishi, sasa naambatanisha nini ili kusiwe na mkanganyiko. Asante
Makonda wa daladala ...Daudi Albert Bashite aka..
Mkuu si wewe...Soma post uelewe usiniite vitu vya ajabu, hayo majina yametofautiana kwenye cheti cha ndoa tu baada ya kuolewa na mkristto. Vyeti vyangu vya kuzaliwa na taaluma vyote majina yanafanana ambayo ni ya kiislam
Karemboo kubadilisha jina ni jambo la kawaida na njia zipo nyingi za uthibitisha kama alivyoelekeza huyu mchangiaji. BTW ngoja nitoe ushauri: Pamoja na kubatizwa, ungeweza kubaki na jina lako tu. Mimi huwa naamini hakuna jina la kikristo wala kiislam. Kuna jamaa yangu ni mkisto yeye na mke wake lakini baadhi ya watoto wao wamepewa majina ya ''kiislam''.1.Andika barua ya maelezo (cover letter)
Katika barua hii, eleza kwa ufupi kwamba una majina tofauti kwenye vyeti vya dini na vyeti vya umma (kama cheti cha kuzaliwa na ubatizo), lakini wote ni wewe.
Toa mfano:
“Ninathibitisha kuwa vyeti vyangu vya kuzaliwa (Mwanaidi Juma Katani) na cheti cha ubatizo/ndoa (Janeth Juma Katani) vyote vinahusu mimi, hivyo majina tofauti ni kutokana na tofauti ya dini.”
Hii husaidia afisa wa utumishi kuelewa tofauti bila kuibua mashaka.
2. Ambatanisha nyaraka zinazothibitisha utambulisho wako
Cheti cha kuzaliwa – Mwanaidi Juma Katani
Cheti cha ubatizo/ndoa – Janeth Juma Katani
Namba ya kitambulisho au pasipoti – Hii itathibitisha kuwa vyote ni wewe.
Kitambulisho cha Taifa au Passport – hakikisha jina linalooneshwa kwenye kitambulisho ni sawa na lile uliloajiriwa.
3. Ikiwezekana, toa affidavit / uthibitisho wa kisheria
Unaweza kwenda kwa notiari au tarafa/mtaa ili kutengeneza barua ya uthibitisho wa majina.
Hii barua itasema wazi kuwa:
“Mwanaidi Juma Katani na Janeth Juma Katani ni mtu mmoja, hivyo vyeti vyote vinahusiana na [wewe].”
4. Kuambatanisha na cheti cha ndoa
Wakati unapopeleka cheti cha ndoa serikalini, weka pamoja:
Cheti cha ndoa
Kitambulisho cha Taifa / Passport
Cheti cha kuzaliwa
Affidavit (ikiwa imefanyika)
Barua ya maelezo kwa afisa wa utumishi
Hii itapunguza mkanganyiko wowote.
Afisa wa utumishi atakuwa na nyaraka zote zinazothibitisha ni wewe, na majina tofauti hayataunda shida.
Ahsante
Wewe ni Mwalimu au ni kada ipi? Maana huu mchakato maelekezo yapo kipindi kilekile wakati unasaka ajira kunakua na maelekezo unapewa nini cha kufanya ikiwa majina yako hayafanani au yana walakini ni aidha ukaape Mahakamani au kwa Mwanasheria na upewe cheti cha kiapo aidha affidavit au deedpoll ndio ukishapewa hivyo vyeti unapeleka huko unapotaka kupeleka,Sasa nimeshaajiriwa serikalini na nataka nipeleke vyeti vya ndoa kwa afisa utumishi, sasa naambatanisha nini ili kusiwe na mkanganyiko. Asante
Umehama dini kutoka ukristu kwenda Uislamu lazima Uslimu na ukitoka Uislamu kwenda Ukristu lazima Ubatizwe na katika michakato hio hapo kunakua na mlolongo wa kukubadirisha kuanzia jina na mengineyo yaan unapigwa msasa safi kuanzia jina lako km uliitwa Joyce jina linabadirishwa unaitwa Mwazani au SikujuaHivi ukiolewa ni lazima ubadilishe majina? Usipobadilisha inakuwaje?
Nje ya mada..
Kachukue Deedpoll achana na Affidavit, au muelezee hakimu hapo Mahakamani au Mwanasheria atakupa cheti sahihi cha wewe kujaza, ni simple sana why panicking?Soma post uelewe usiniite vitu vya ajabu, hayo majina yametofautiana kwenye cheti cha ndoa tu baada ya kuolewa na mkristto. Vyeti vyangu vya kuzaliwa na taaluma vyote majina yanafanana ambayo ni ya kiislam
HAwawezi kukuelewa kirahisiKaremboo kubadilisha jina ni jambo la kawaida na njia zipo nyingi za uthibitisha kama alivyoelekeza huyu mchangiaji. BTW ngoja nitoe ushauri: Pamoja na kubatizwa, ungeweza kubaki na jina lako tu. Mimi huwa naamini hakuna jina la kikristo wala kiislam. Kuna jamaa yangu ni mkisto yeye na mke wake lakini baadhi ya watoto wao wamepewa majina ya ''kiislam''.
Mpaka akiwa na vyeti sahihi mkononi sio mikono mitupuHAwawezi kukuelewa kirahisi
Nenda kwanza kwa wakili aliyesajiliwa au hakimu ukaape kuwa hayo majina ya kiislamu na hayo ya ubatizo wa kikristo ni majina yako.Ukipata hiyo affidavit,nanda kwa msajlii wa hati hapo mkoani ulipo upeleke hiyo affidavit iki uyasajiki hayo majina yote,na utalioia kiasi cha pesa,utapewa hati na risiti.Sasa kwa afisa utumishi peleka affidavit uliyopata kwa wakili au hakimu,cheti cha usajili wa majina na risiti ulivyovipata kutoka kwa msajili wa hati na utakuwa umekamilisha kila kinachotakiwa na utayatumia hayo majina yote kisheriaHapana nimezaliwa, nimesoma mpk namaliza shule majina yangu ni MWANAIDI JUMA KATANGA lakini nimeolewa kikristo ndo nikabatizwa na kupewa jina la janeth so cheti changu cha ndoa kikaandikwa JANETH JUMA KATANGA…. Sasa nataka kuupdate marital status kwa HR
Nilimaanisha majina ya "kikristo" na "kiislamu" mkuuMpaka akiwa na vyeti sahihi mkononi sio mikono mitupu