Vyeti vya shule na ndoa vinatofautiana majina, naomba ushauri jinsi ya kuvipeleka kwa HR

Dr JF nmembers naomba kusaidiwa mimi vyeti vyangu vya kuzaliwa na shule majina yake ni ya kiislam “Mwanaidi Juma Katani” lakini ndoa yangu ni ya kikristo na majina ya vyeti vya ubatizo na ndoa ni “Janeth Juma Katani”. Sasa nimeshaajiriwa serikalini na nataka nipeleke vyeti vya ndoa kwa afisa utumishi, sasa naambatanisha nini ili kusiwe na mkanganyiko. Asante
Nenda kwa advocate yani wakili akutengenezee kiapo upeleke pamoja na vyeti vyote viwili
 
Dr JF nmembers naomba kusaidiwa mimi vyeti vyangu vya kuzaliwa na shule majina yake ni ya kiislam “Mwanaidi Juma Katani” lakini ndoa yangu ni ya kikristo na majina ya vyeti vya ubatizo na ndoa ni “Janeth Juma Katani”. Sasa nimeshaajiriwa serikalini na nataka nipeleke vyeti vya ndoa kwa afisa utumishi, sasa naambatanisha nini ili kusiwe na mkanganyiko. Asante
Tumia affsavit kutambua yote ni majina yako itakubalika
 
Back
Top Bottom