Vyeti vya shule na ndoa vinatofautiana majina, naomba ushauri jinsi ya kuvipeleka kwa HR

Nilimaanisha majina ya "kikristo" na "kiislamu" mkuu
Ndio mpaka awe na cheti sahihi awapatie ndio watamuelewa kwamba majina yake sahihi yanayotambulika kisheria ni haya, samahani siku hizi sisikii vizuri mkuu utaniwia radhi
 
Reactions: Lax
Sawa kaka mwazani, kama tupo imani moja inakuwaje? Yanabaki kama mwanzo?
 
Sawa kaka mwazani, kama tupo imani moja inakuwaje? Yanabaki kama mwanzo?
Sijasikia vizuri kaka mwazani ndio nani? Siku hizi nina tatizo la kusikia vizuri ungerudia hapo umesema kaka mwazani ukimaanisha mimi au?
 
Kwahiyo ukiwa na mdogo wako anaitwa mwazani huwezi kuwa kaka mwazani? Majina kila mtu abaki na yake au cheti kitakuwa void?
Nina matatizo ya kusikia mkuu umesema kwamba mdogo wangu anaitwa Mwazani wewe ndio Mwazani? Majina yenu ya ndoa ni yale mmeyaandika kwenye cheti cha Ndoa, kwa mfano mimi naitwa Norbi na wewe unaitwa Irene tukaandikisha hayo majina nikakuoa ukawa mke wangu hio haina shida as long as ndio majina yetu halali yanayotambulika kisheria, au ulikua unamaanisha nini hapo?
 
Hilo jina la juma katani uliliacha kwanini wakati ushabatizwa?? Kwann usingeitwa kwa jina la mumeo?? Acha usanii
Nakushauri uachane na chet Cha ndoa au kaombe kubadilisha cheti Cha ndoa sababu kitaibua wasiwasi mkubwa
 
Hilo jina la juma katani uliliacha kwanini wakati ushabatizwa?? Kwann usingeitwa kwa jina la mumeo?? Acha usanii
Nakushauri uachane na chet Cha ndoa au kaombe kubadilisha cheti Cha ndoa sababu kitaibua wasiwasi mkubwa
Ni jina la Baba yake anaweza kulikataa jina alilopewa na Baba yake ila hawezi kulikataa jina la Baba yake Mzee Juma, mboni wapo watu wenye majina hayo wengi tu na haina shida kikubwa atoe vithibitisho kua hayo ni majina yake na anayatumia kwa kufuata taratibu za kisheria, mimi sio Mwanasheria Abdul Said Naumanga/ Mr George Francis watakusaidia zaidi
 
Ndio mwazani mie, kwahiyo nitakuwa naitwa Irene Norbi?
 
Wala usihangaike sana mkuu,cheti cha ndoa hakina uhusiano na vyeti vyako vya kiserikali. Kaa tulia mkuu.
 
Kwanini unibadili ubini wangu🙄
Ndio inabidi iwe hivyo wewe unaolewa harafu unabakia na ubini ule ule nani kasema, unabadirika unakua Irene Norbi, ushaelewa yaan hapo ndio ushaolewa tena hivyo leo leo hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…