Vympel: Kikosi cha siri kinachotumiwa na Kremlin kuwaangamiza maadui wa Putin nje ya Urusi.

Vympel: Kikosi cha siri kinachotumiwa na Kremlin kuwaangamiza maadui wa Putin nje ya Urusi.

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Hiki ni kikosi cha siri ndani ya shirika la ujasusi la urfusi yaan FSB kinachoundwa na watu hatari zaidi zaidi duniani.
naam wakuu hawa qatu ni hatari kuliko hatari yenyewe wanaua popote duniani na mda wowote.
wanatumia sumu bunduki karate judo yaani kila njia ili tu kazi waliopewa ikamilike na hawajahi kufeli
kama wewe ni mrusi na umekimbia urusi kwa usaliti au wewe ni mrusi na uko nje ya urusibna unaisema urusi na Putin vibaya jua fika hupo salama.
Aliekua kiongozi wa waasi waliokua wanataka kujitenga wa jamhuri ya chechnya Zelimkhan Khangoshvili, baada ya kushindwa vita na jeshi la urusi alikimbilia berlin ujerman.
huko alitumwa jamaa mmoja kutoka katika hiki kikosi jina lake Vadim Krasikov akamuua mchana kweupe saa 6 mbele ya kadamnasi ya watu.
Pale uingereza pia jasusi wa wa urursi kutoka FSB alio aasi na kuanza kukosoa sera za kremlin bwana
Alexander Litvinenko aliwekewa sumu na hawa watu akafa.
NI NGUMU KUWATAMBUA NA KUWAKAMATA NA INAKUAJE WAKIKAMATWA NA MATAIFA YA KIGENI.
Hutumia fake identity pia wamo katika michezo na sehemu nyenguine ikitokea wamekatwa urusi hutumua kila njia kuwarudisha nyumbani kama vile kulipa fidia mabadilishano ya wafungwa na wakirudi hupokelewa na Rais Putin mwenyewe na kupewa nafasi za juu katika serekali kama hongera
 
Back
Top Bottom