Vyombo vingi vya habari havina taarifa za kutosha za yanayoendelea nchini. Tunategemea hawa ndio wahabarishe umma juu ya mambo ya msingi?

Vyombo vingi vya habari havina taarifa za kutosha za yanayoendelea nchini. Tunategemea hawa ndio wahabarishe umma juu ya mambo ya msingi?

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Kila wakati huwa ninajiaminisha kuwa umma mkubwa wa watanzania hawako informed kabisa, yaani wako kwenye gizo totor kuhusu mambo ya nchi yanayogusa maisha yao. Hii inakuwa reflected na idadi ya ounline news outlets tulizonazo.

Jambo kubwa lililotokea kwenye serikali jana ni mabadiliko ya mawaziri ambapo mawaziri wawili wenye backing kubwa ya vigogo wa CCM yaani Kikwete, Makamba na Kinana, wamevuliwa madaraka. Zaidi ya hapa JF na forums nyingine chache, habari hizo hazikupewa uzito wowote pale Youtube.

Ni channel tatu tu za Youtube zimeongelea mabadiliko hayo: (a) Mwananchi Digital (b) Global Publishers (c) Milard Ayo. Nyingine zote ama zinaonegelea mpira tu: matokeo ya mpira wa Yanga vs Augsburg, kesi ya Magoma, Usajiri wa Awesu n.k.

Katika mazingira haya kweli tunategemea umma wetu utakuwa informed hata kufikika kujua kuwa pesa za kodi zao zinavunjwa kwa misafara ya magari 150 isiyokuwa na tija? Nchi ina uhaba mkubwa sana wa njia za habari
 
Back
Top Bottom