jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Hakika,amani yetu italindwa kwa gharama yeyote ile....hata kama ni mwana CCM na aadhibiwe!
...kabisa mkuu.Hakika,amani yetu italindwa kwa gharama yeyote ile.
kuvuruga amani ni rahisi ila kuirejesha amani ni kazi.
...kwa mienendo ya wenzetu ni wazi lazima wahusika wawawajibisheWatapata mpapaso wa haja, watafurahi mbona...!
Ni aibu mwanaume kulialia si karipot polisi kama una ushahidi kuliko kuleta jf?Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
...je ukipora wewe!?Day light dreams 'mkipoka ushindi nikweli kutakuwa na machafuko'
Sina hako katabia kachafu...je ukipora wewe!?
Hakuna wa kuleta vurugu hapa.Vyama vyote vya upinzani vina watu wetu na kila walipangalo linajulikana hata kabla wino kukauka.CCM itashinda na watakaoleta hata dalili ya kukaidi wanaweza kukosa hata uhai.Nasoma sana kuhusu torture na nisingeomba yanikute nikiwa hai na ningeomba wananchi wenzangu hata kama umedhulumiwa usishindane na dola hasa kipindi hiki.Uchaguzi serikali za mitaa umepita na CCM imeshinda kwa asilimia kubwa na maisha yanaendelea na October yatatokea hayo na maisha yataendelea.Sisi si watu wa vurugu na tuendelee hivyo hivyo.Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Acha kutisha watu wewe watu wakichoka huwa hawajali lolote mifano ni mingi tu Duniani.Watapata mpapaso wa haja, watafurahi mbona...!
AminaKila uchaguzi huwa yanasemwa hayo. Hiki sio chama cha kuzikana mkuu ni NCHI yenye serikali THABITI. Mwenye huo ubavu hayupo na kama uliwaona waambie wajaribu walete mrejesho. Wote tunapenda amani na tunaijua thamani yake. Wanaotamani machafuko pia watafikiriwa namna ya kupewa haki yao bila kuathiri haki ya wengi tunaopenda amani.
Si uchoke tuone, watu gani walochoka unaowasemea? wewe na mmeo?Acha kutisha watu wewe watu wakichoka huwa hawajali lolote mifano ni mingi tu Duniani.
Hakika,amani yetu italindwa kwa gharama yeyote ile.
kuvuruga amani ni rahisi ila kuirejesha amani ni kazi.