KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mleta mada ni sehemu ya mpango huo; wa kuwatisha watu na kuwatia woga.Ccm wametangaza hadharani na kifichoni kuwa wako tayari kuua kupiga wapinzani,Hao polisi wanawaangalia tu
Inaelekea hali hii itazidi kuongezeka zaidi kadri uchaguzi unavyokaribia; kuwatia uoga watu hata kura wasiende kupiga.
Ni kazi ya vyama vya upinzani kuyafichua haya na kuhimiza watu wengi wakapige kura.