KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mleta mada ni sehemu ya mpango huo; wa kuwatisha watu na kuwatia woga.Ccm wametangaza hadharani na kifichoni kuwa wako tayari kuua kupiga wapinzani,Hao polisi wanawaangalia tu
HASA HAWA WA CCMUkiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
kikubwa haki itendeke... sioni kama kuna Mtanzania yeyote anayependa vurugu.Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Wakati chadema wanamsimamisha Dk slaa kuwa mgombea ktk kiti CGA urais miaka ileee nilitumiwa sms kutoka amba. OOOO ikinitaka nisimchague dk slaa kwani anataoeta machafuko kama yanaotokea huko nchi jirani ,kwa akili yko ndogo tuu unawaza ujumbe huu ulitengenezwa na nani? Je kuna mwingine alitumiwa ujumbee huu? Nn lilikuwa dhumuni la ujumbe huu?Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Wapo watu wa kupewa nchi miaka ijayo kwenye 2100 huko.ila sio Chadema kila siku mnanunuliwa kwa fedha za kununua karanga ndo mpewe nchi nyinyi.hata ofisi mnapanga miaka yote!!?.Amani huku mkipora ushindi wa wengine? Kwenye nchi za kiafrika bila machafuko amani na heshima huwa havipatikani.
Mkuu unajua chanzo cha machafuko?Kila uchaguzi huwa yanasemwa hayo. Hiki sio chama cha kuzikana mkuu ni NCHI yenye serikali THABITI. Mwenye huo ubavu hayupo na kama uliwaona waambie wajaribu walete mrejesho. Wote tunapenda amani na tunaijua thamani yake. Wanaotamani machafuko pia watafikiriwa namna ya kupewa haki yao bila kuathiri haki ya wengi tunaopenda amani.
Buku 7Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Wapo watu wa kupewa nchi miaka ijayo kwenye 2100 huko.ila sio Chadema kila siku mnanunuliwa kwa fedha za kununua karanga ndo mpewe nchi nyinyi.hata ofisi mnapanga miaka yote!!?.
Hata chama sio cha watu ni cha familia ya Mbowe.Watu sio cdm, wamenunuliwa watu na sio chama. Ofisi kupanga wamepanga Kenya au hapa hapa Tanzania?
Hata chama sio cha watu ni cha familia ya Mbowe.
hawajapanga Kenya wamepanga uzazi.
kama chama cha siasa kufanywa cha familia ni uhanithi basi sawa kaka tindoUnaoongea uhanithi gani dogo?
Si tulifikia kwenye Chadema ni chama cha familia ya Mbowe,mbona unahama mada?Nasema hivi, peleka uduwanzi mbali. Rudi shule ukajifunze kuandika badala ya kuuza face hapa jukwaani.
Hakuna kitu kibaya kama kuwapiga risasi kuwabambikia kesi kuwahujumu kuwadhoofisha wanaofanya hayo matendo Mbona vyombo vya dolaccm havijawachukulia hatua? Naona umeanza kutengeneza kisingizio cha kuwapiga wapinzani mapema ili siku mkianza kuwanyanyasa kuwapiga muwasingizie kuwa wanahatarisha Aman.Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Hizi ID Mbona tunazisoma sana , sema hakuna madhara.Taja,Nani wa chama gani acha yoga ,unatumia fake I'd halafu unaogopa?