Vyombo vya Dola mkisikiliza ushauri wa Mbowe Rushwa nchini itakwisha. Awapongeza Jeshi la Polisi, asema CCM imejaa giza

Awapongeza Jeshi la Polisi.​

Sidhani kama anashare the same na Tundu Lissu na genge lake humu jamvini.

au, kama Tundu Lissu huko mwanzoni wa mihadhara yake amedai hayo hayo....walakini ikija kwenye vyombo vya habari na kwingine Wanadai wanalega lega, kuwa hawana hata weledi wa kuchunguza matukio....na mengine lukuki?

Kuna nini la kuchukua katika matamshi yao? Wanogopa? Wanajikomba, au Ufahamu unawarudia? au ndio ulikuwa Uwendanazimu? kurudia rudia mapungufu ya Jeshi la Polisi wakati wao wakiweka mazingira mabovu na kudai polisi anyau!

Kitaeleweka
 
..hata Lissu amewapongeza Polisi kwa kuachana na uhuni waliokuwa wakielekezwa kufanya na Magufuli dhidi ya wapinzani.
 
Mtoa ushauri mwenyewe katafuna M100 za Sabodo alizowapa kujenga ofisi yenye hadhi.
Hii ni sawa na mwewe kumshauri kunguru namna ya kuiba watoto wa kuku 🤣🤣🤣

Ama kweli hii ni siasa siasani.
 
Attachments

  • Screenshot_20220912-125326.jpg
    Screenshot_20220912-125326.jpg
    62.8 KB · Views: 4
Mtoa ushauri mwenyewe katafuna M100 za Sabodo alizowapa kujenga ofisi yenye hadhi.
Hii ni sawa na mwewe kumshauri kunguru namna ya kuiba watoto wa kuku 🤣🤣🤣

Ama kweli hii ni siasa siasani.
We jamaa unapenda ugomvi😅
 
..hata Lissu amewapongeza Polisi kwa kuachana na uhuni waliokuwa wakielekezwa kufanya na Magufuli dhidi ya wapinzani.
Sidhani kama kuna mtu mwenye nia njema atashindwa kuona hili.
 
Sidhani kama anashare the same na Tundu Lissu na genge lake humu jamvini.

au, kama Tundu Lissu huko mwanzoni wa mihadhara yake amedai hayo hayo....walakini ikija kwenye vyombo vya habari na kwingine Wanadai wanalega lega, kuwa hawana hata weledi wa kuchunguza matukio....na mengine lukuki?

Kuna nini la kuchukua katika matamshi yao? Wanogopa? Wanajikomba, au Ufahamu unawarudia? au ndio ulikuwa Uwendanazimu? kurudia rudia mapungufu ya Jeshi la Polisi wakati wao wakiweka mazingira mabovu na kudai polisi anyau!

Kitaeleweka
Mbona hueleweki?
 
...." utamkuta mtu amevaa yebo yebo zimechanika"" anakwambia Mimi na CCM damu damu. Mh Mbowe.
Mrema alisema mwaka 1995 "mtu anatembea miguu peku kama jogoo.lakini hakuelewi ukisema ccw na jamaa yao chavda wezi watupu"

So 1995 peku kama jogoo, miaka 28 wameadvance kwa kuvaa yeboyebo
 
au, kama Tundu Lissu huko mwanzoni wa mihadhara yake amedai hayo hayo....walakini ikija kwenye vyombo vya habari na kwingine Wanadai wanalega lega, kuwa hawana hata weledi wa kuchunguza matukio....na mengine lukuki?
Nimesema hayo juu☝️
Nawewe umesema haya chini👇
..hata Lissu amewapongeza Polisi kwa kuachana na uhuni waliokuwa wakielekezwa kufanya na Magufuli dhidi ya wapinzani.

👇Wewe unadai Lissu ndie kasema Uhuni "Waliokuwa" nao. Nyakati zile....

Back
Top Bottom