Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Haya umeshamaliza kuota, amka sasaHaki ni kumpa ushindi anayestahili Kama kilichofanyika malawi na ndio kinachofanyika hapa nyumban
Kwa TZ bado sana sana sana
Vinashindwa maana huko upinzani hamna wa kukabidhi kiti/uongoziNivipe pongezi vyombo vya dola vya Malawi kwa kutenda haki na nchi zingine zinifunze kutoka Malawi. Jeshi, Polisi, Mahakama, majaji na mkuu wa jeshi aliyekubali kufukuzwa kazi, lakini alisimamia msimamo wake palepale penye haki. Alikataa kupiga raia, Majaji waliktaa rushwa ya mabililioni, stories ni ndefu tujifunze kutoka Malawi.
The awakening is coming this directionNivipe pongezi vyombo vya dola vya Malawi kwa kutenda haki na nchi zingine zinifunze kutoka Malawi. Jeshi, Polisi, Mahakama, majaji na mkuu wa jeshi aliyekubali kufukuzwa kazi, lakini alisimamia msimamo wake palepale penye haki. Alikataa kupiga raia, Majaji waliktaa rushwa ya mabililioni, stories ni ndefu tujifunze kutoka Malawi.
Polisi wa Malawi waliwahi kupambana na Jeshi la nchi hiyo.Nivipe pongezi vyombo vya dola vya Malawi kwa kutenda haki na nchi zingine zinifunze kutoka Malawi. Jeshi, Polisi, Mahakama, majaji na mkuu wa jeshi aliyekubali kufukuzwa kazi, lakini alisimamia msimamo wake palepale penye haki. Alikataa kupiga raia, Majaji waliktaa rushwa ya mabililioni, stories ni ndefu tujifunze kutoka Malawi.
Waachwe wananchi waamue wenyewe . Siyo wewe mpaka uridhike na mpinzani wako .Vinashindwa maana huko upinzani hamna wa kukabidhi kiti/uongozi
Hata wananchi wakiamua kutangazwa bado ishu iko pale pale kwani mara ngapi wanashinda lakini hawapewi.Waachwe wananchi waamue wenyewe . Siyo wewe mpaka uridhike na mpinzani wako .
Na wananchi tunaridhika kushirikishwa upuuzi huo ?! Basi tatizo lipo kwetu wananchiHata wananchi wakiamua kutangazwa bado ishu iko pale pale kwani mara ngapi wanashinda lakini hawapewi.
Naomba niishie hapo tafadhali
Nadhani ni pamoja na hayo tatizo ni kujisahau kwa wananchiNa wananchi tunaridhika kushirikishwa upuuzi huo ?! Basi tatizo lipo kwetu wananchi