abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Ivyo vyombo kila siku mnavitukana alafu mnategemea viwasaidie endeleen kupambana na Hali zenuNivipe pongezi vyombo vya dola vya Malawi kwa kutenda haki na nchi zingine zinifunze kutoka Malawi. Jeshi, Polisi, Mahakama, majaji na mkuu wa jeshi aliyekubali kufukuzwa kazi, lakini alisimamia msimamo wake palepale penye haki. Alikataa kupiga raia, Majaji waliktaa rushwa ya mabililioni, stories ni ndefu tujifunze kutoka Malawi.