Vyombo vya Dola viache Demokrasia ikue Afrika, viige mfano wa Malawi

Ivyo vyombo kila siku mnavitukana alafu mnategemea viwasaidie endeleen kupambana na Hali zenu
 
Waache demokrasia ikue kwa maslahi ya nani, acha kitu kinachoitwa madaraka.

CCM haiji kutoka madarakani kwa vikaratisi vyenu hivyo.

Cha kuitoa ccm Madarakani ni damu tu, historia haidanganyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…