ostrichegg JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 12,050 Reaction score 6,199 Feb 4, 2022 #101 voicer said: Na hatujajua mmekuwa mnawatumia kwa maovu hawa Makomandoo. Maana tumechelewa sana kujua hili... Click to expand... Hebu kafuteni mtunzi mwingine wa 'tamthilia', hii ishabuma.
voicer said: Na hatujajua mmekuwa mnawatumia kwa maovu hawa Makomandoo. Maana tumechelewa sana kujua hili... Click to expand... Hebu kafuteni mtunzi mwingine wa 'tamthilia', hii ishabuma.
M Mwana wa Nuru JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 589 Reaction score 412 Feb 4, 2022 #102 Farolito said: Zelothe Stephen,Kanali Mwakibinga,Kanali Kinana na wengineo wapo Chama gani kwani? Click to expand... Umesahau kumuulizi na luteni kanali JK .
Farolito said: Zelothe Stephen,Kanali Mwakibinga,Kanali Kinana na wengineo wapo Chama gani kwani? Click to expand... Umesahau kumuulizi na luteni kanali JK .
Jumanne Mkota JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 2,987 Reaction score 1,757 Feb 6, 2022 #103 Hivi captain chiligati ni kapten wa yanga ,kmc, ccm au JWTZ?