Vyombo vya Dola vichimbue kwa kina muelekeo wa CHADEMA kutumia waliokuwa Maafisa wa Jeshi katika shughuli zake, naona wana nia ovu kwa usalama wa nchi

Ila Kuna watu mna matatizo kweli katika hii dunia. Yaani umekaa ukanitumia akili yako kabisa na kuhitimisha mawazo yako kwa jinsi hii!!!! Bado ukaona haitoshi, ukayatoa kwa jamii ili na wewe uhesabiwe Kuwa unao uwezo wa kutumia akili katika maisha yako.
Hii ni hatari Sana kwa jamii ya kidemokrasia. Lakini haya yote ni matunda ya kujilisha upepo maana kikutokacho moyoni kinaakisi ulivyo.
Yote kwa yote, hongera Sana kwa ujinga huu!!!!!!!
Huo ni WA viwango vya wanakijani pekee🤸.
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.

Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.

Kama nia hiyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini.
Sheria ibadilishwe, Mjeshi wa mafunzo au ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kufanya kazi inayohusisha mafunzo aliyopata jeshini, kama anataka kufanya kazi hiyo nje ya jeshi
Hivi sisiemu huwa inaokoteza wapi wajinga hawa?!!!
 
Chadema wanataka kuwatumia kwa nia ovu ya Ugaidi na kuunda Jeshi la uasi
Jina lako kikwetu ni clotis ya mwanamke.
Au una matumizi yanayofanana na jina lako,?
 
Poleni,
Inavyoonekana, karibu mtapeleka marekebisho ya sheria ili nyie WAKIJANI ndio muwe mnaanda wajeshi wastaafu kwa ajili ya VIP protection kwa wote.
Na hatujajua mmekuwa mnawatumia kwa maovu hawa Makomandoo.

Maana tumechelewa sana kujua hili...
 
Jina lako kikwetu ni clotis ya mwanamke.
Au una matumizi yanayofanana na jina lako,?
Kwetu ni samaki, clotis ndio nini? Au ndio mambo ya shule za kata
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.

Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.

Kama nia hiyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini.
Sheria ibadilishwe, Mjeshi wa mafunzo au ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kufanya kazi inayohusisha mafunzo aliyopata jeshini, kama anataka kufanya kazi hiyo nje ya jeshi
Unamchunguzaje mtu umemfukuza kazi, ameamua mwenyewe kujitafutia ujira tena ulinzi wa wazi ndani ya nchi yake au mnataka waelekee msumbiji au Kongo kujiunga na makundi ya kigaidi
 
Mliyoyatarajia yamekuja kinyume mmevurugika!! Sasa mnaongea kama mmekatwa vichwa!
 
Huyo ni Jeshi la akiba ....reserve army, tunakula naye sahani moja mpaka ajute kuzaliwa
 
Mliyoyatarajia yamekuja kinyume mmevurugika!! Sasa mnaongea kama mmekatwa vichwa!
Atafungwa jela, mama kwa kuwa ana huruma, atamuachia kwa msamaha wa Rais, kwa kutumia katiba hiyo hiyo mnayoipiga vita, Mbowe atapata msamaha wa mama, the game will be over, akikata rufaa, anashonwa tena, halafu mama anamuachia kwa msamaha wa Rais
 
Back
Top Bottom